Dini zina maelezo gani kuhusu binadamu wa jamii tofauti kuwa na rangi tofauti?

Sisi kina nani?
 
Genetics haiwezi kuelezea chochote kuhusu Adamu kwa sababu hakuna uthibitisho wa kuwahi kuwepo kwake.
 
ukitafakari sana juu ya chanzo cha binadamu na viumbe wengine wote hapo ndipo utapo anza kuhisi kwamba kuna nguvu ya ajabu iliyojificha katika ulimwengu huu ambayo haionekani kwa macho y damu bali kwa macho ya rohoni..
 
ukitafakari sana juu ya chanzo cha binadamu na viumbe wengine wote hapo ndipo utapo anza kuhisi kwamba kuna nguvu ya ajabu iliyojificha katika ulimwengu huu ambayo haionekani kwa macho y damu bali kwa macho ya rohoni..
Inawezekana kuna nguvu ya ajabu nyuma yake ila kusema inaonekana kwa macho ya rohoni huo ni utapeli tu, hakuna macho ya rohoni.
 
Mmesema wote tulikuwa nyani. Hao nyani waliobadirika kuwa binadamu walikuwa wapi, ulaya au Africa?
Nakazia hoja. Mbona hatuoni waliokati i.e. Nyani wanaoendelea kubadilka lakini hawajakamilika? yan wapo "on transit" kuwa binadamu.
 
Hata Genetics inakataa hoja ya uwezo wa kutoa watu wenye ngozi na nywele tofauti- ukizingatia binadamu yeyote hapa Duniani ana Genes (Chromosomes) 46 (23 kutoka kwa kila mzazi Me 23 na Ke 23) na haijawahi kubadilika. Iliyobaki na ambayo bado inabishaniwa ni ile Theory of Evolution.
 
ukitafakari sana juu ya chanzo cha binadamu na viumbe wengine wote hapo ndipo utapo anza kuhisi kwamba kuna nguvu ya ajabu iliyojificha katika ulimwengu huu ambayo haionekani kwa macho y damu bali kwa macho ya rohoni..
Kwa nini utafakari juu ya chanzo cha ulimwengu na binadamu halafu hautafakari juu ya chanzo cha hiyo nguvu ya ajabu?

Hiyo nguvu ya ajabu chanzo chake ni nini?
 
Umewahi kupima genetics ya Adam na Eva?
 
Lakini on other side zimeleta utulivu duniani, bila hivyo violence ingekuwa kubwa sana duniani.
Dini zimeleta utulivu?, hey tembeeni duniani huko muone uharamia uliosababishwa na hizo dini, matendo yanayotendwa na hao wafia dini, hata hawa mnaowaita washirikina hawayatendi.
Nigeria, burkina faso, Niger, Central Afrika, Sudan, Somalia, Nchi za huko Middle East ukifuatilia kwa undani shida ni hizo dini.

Maajabu ni kuwa nchi zisizofungamana na hizo dini ndio zinaongoza kwa amani mfano North korea, south Korea, China, Japan, n.k.

Hata hapa Tanzania tuna amani kidogo sababu ya kutojifungamanisha na udini unaozitesa nchi zingine lkn bado hatuendelei sababu raia wanamilkiwa kiakili na hizo imani za dini.

Dini ndio chanzo cha maovu duniani, bila uislamu sidhani hata huo ufanisi ungepata nafasi ya ushawishi kwa wanaoutumia kufanya unyama wao, the same way kwa huo Uyahudi usingekuwepo sidhani kama wale raia wasio na hatia wangeteseka pale gaza na maeneo mengi ya dunia.

Back to the topic, binadamu si watu na watu si binadamu, hatupo sawa ilihali jamii za dunia hii zinalazimisha kuonesha kuwa sisi sote ni sawa kumbe si kweli

Watu+binadamu hawajatokana na mzazi mmoja, watu weusi hawajatokana na hizo TAKATAKA za Adamu na Eva, rangi za watu+binadamu hazijatokana na uzao wa huyo Nuhu na fake religions characters mnaowasoma Ktk vitabu vyenu.

Mtu wa kwanza ni mweusi na ndie kiumbe Original, hao rangi zingine walitokea kwa bahati mbaya

Nalog off..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…