Dini zina maelezo gani kuhusu binadamu wa jamii tofauti kuwa na rangi tofauti?

Mbona Colombia na Indonesia hawajawa weusi kama Waafrika?
 
Sijawahi kusikia au kusoma maelezo yoyote kuhusu kwa nini binadamu wengine wamekuwa Waafrika, Wazungu, Waarabu, Wahindi n.k ikiwa wote tulitoka kwa Adamu na Hawa.
Ipo wazi ...Yakobo....Afrika,,,,Esau...ndio hao zkama zeruzerunsky,,,,
 
ukitafakari sana juu ya chanzo cha binadamu na viumbe wengine wote hapo ndipo utapo anza kuhisi kwamba kuna nguvu ya ajabu iliyojificha katika ulimwengu huu ambayo haionekani kwa macho y damu bali kwa macho ya rohoni..
Wasiwasi Wako Tu....​
 
Haya maswali huenda mbali sana bila kufikia Tamati.
Hii ndio inaitwa infinite regress of causes.

An infinite regress of causes is an endless chain of events where every cause has its own prior cause going back forever.

There is no first event, no start, and no uncaused beginning.
 
Kwa nini utafakari juu ya chanzo cha ulimwengu na binadamu halafu hautafakari juu ya chanzo cha hiyo nguvu ya ajabu?

Hiyo nguvu ya ajabu chanzo chake ni nini?
So chanzo chetu kitakuwa nn mkuu ?
 
Elimu ,ELimu ,ELimu - ENL 2015

Different color - One People(Homo Sapiens)

Genetics
Evolution
Ecology
 
Ikisema watu wa mataifa mbalimbali, kabila zote ndio maana yake. Usitatake specific object enzi hizo hapakuwa na istilahi za uzungu, uchina, uhindi, uarabu na uafrika
 
Hii ndio inaitwa infinite regress of causes.

An infinite regress of causes is an endless chain of events where every cause has its own prior cause going back forever.

There is no first event, no start, and no uncaused beginning.
 
Mimi hawa wazungu, waasia na jamii nyingine kama hizo huwa nawaona kama fake human beings. Au viumbe waliotokana na muingiliano kati ya binadamu halisi na viumbe wengine wa ajabu ajabu.
 
Ikisema watu wa mataifa mbalimbali, kabila zote ndio maana yake. Usitatake specific object enzi hizo hapakuwa na istilahi za uzungu, uchina, uhindi, uarabu na uafrika
Jikite kwenye hoja. Hiyo tofauti ilitokana na nini?
Haudhani kwamba wanaosema Adam na Hawa si watu pekee wa mwanzo kuumbwa hapa duniani wanaweza kuwa sahihi. Kuna uwezekano kila jamii ina Adam na Hawa wake.

Haiwezekani watu wawili tu waweze kutengeneza jamii mbalimbali za watu wenye rangi tofauti tofauti ambao hata sasa hawaonekanii kwamba asili yao ni moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…