Dini zinawagawa sana watu kuliko kuwaunganisha .

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Maoni binafsi

Dini -ni Kama mfupa mgumu ambao walipewa watu waangaike nao -kuumeza huo mfupa wengi hawawezi kuumeza wala kuuvunja.

The bible is there
Quruan is there

But only few people can use it positively.

Watu wanatengana
Wanabaguana
Wanachukiana

Dini zote zinafundisha UPENDO lakini why people they hate each other.

I'm sure watu wasiotambua maana ya dini ndo huzalisha conflicts , misunderstanding and other negativity.

Dini ni njia ya kukupeleka kwa MUNGU Ila unaweza kufika kwa Mungu bila dini.

It is better to respect someone' else FAITH.

Love is all we need to preach , because there is nothing way we can show GOD in the world than LOVE.

I pray for PEACE and serenity to every body 🙏🏽.
 
Maajabu ya hizi dini, kila dini ina Mungu wake tofauti na dini nyingine ila shetani anakua ni mmoja ama ni yule yule kwa dini zote, inawezekanaje hii?

Dini ni utapeli kama utapeli mwingine Mungu hayupo. Hadithi za Mungu kwenye biblia ama Quran ni hadithi za uongo kama za sungura na fisi, ni hadithi za kitoto sana.
 
Maoni binafsi

Dini -ni Kama mfupa mgumu ambao walipewa watu waangaike nao.

The bible is there
Quruan is there

But only few people can use it positively.

Watu wanatengana
Wanabaguana
Wanachukiana

Dini zinafundisha UPENDO lakini why people they hate each other.

I'm sure watu wasiotambua maana ya dini ndo huzalisha conflicts , misunderstanding and other negativity.

Dini ni njia ya kukupeleka kwa MUNGU Ila unaweza kufika kwa Mungu bila dini.

It is better to respect someone' else FAITH.

Love is all we need to preach , because there is nothing we can show GOD in the world than LOVE.

I pray for PEACE and serenity.🙏🏽
Dini si njia ya kukupeleka kwa mungu, na wala huwezi kwenda kwa Mungu,

Kwasababu huyo Mungu hayupo.
 
Dini zina Miungu tofauti tofauti wao ila shetani anakua ni mmoja tu.

Dini ni utapeli kama utapeli mwingine Mungu hayupo.
Kwa hiyo wewe shetani ndio unaamini yupo ila Mungu hayupo. Hebu tupe ushahidi kwamba shetani yupo na Mungu hayupo. Kama ukishindwa kutupa ushahidi mbona Watu wengine wakiamini Mungu na shetani wote wapo unawapinga
 
Nimesema hivi, hizi dini kila dini ina Mungu wake lakini shetani anakua ni yule yule kwa dini zote, hii inawezekanaje?

Hakuna mahala nimesema naamini shetani yupo, nilichosema Mungu hayupo, hadithi za Mungu ni hadithi za uongo na utapeli. Kama Mungu hayupo maana yake hadithi zote zinazomhusu yeye na shetani ni za uongo, wote hawapo.
 
Huyo shetani mmoja anaishi wapi ?
Kwenye mahubiri ama maandiko ya dini. Mungu na shetani ni imaginary figures zilizoko kwenye maandiko ya dini. Sasa ukisoma kila maandiko ya dini yana Mungu wake, kila dini ina mungu wake ila shetani anakua ni yule yule kwa dini zote, hapo ndio utapeli unapoanzia.
 
Dini si njia ya kukupeleka kwa mungu, na wala huwezi kwenda kwa Mungu,

Kwasababu huyo Mungu hayupo.
Atheists mnateseka sana kutetea hoja zenu kuwa Mungu hayupo. Kama hayupo mnahangaika nini kujadili kitu ambacho hakipo?
Atheism = Satanism.
Tatizo la atheists hamna exposure ya mambo ya rohoni mnataka proof ya mambo ya rohoni kwa kutumia senses😀😀😀
 
Maoni binafsi

Dini -ni Kama mfupa mgumu ambao walipewa watu waangaike nao -kuumeza huo mfupa wengi hawawezi kuumeza wala kuuvunja.

The bible is there
Quruan is there

But only few people can use it positively.

Watu wanatengana
Wanabaguana
Wanachukiana

Dini zote zinafundisha UPENDO lakini why people they hate each other.

I'm sure watu wasiotambua maana ya dini ndo huzalisha conflicts , misunderstanding and other negativity.

Dini ni njia ya kukupeleka kwa MUNGU Ila unaweza kufika kwa Mungu bila dini.

It is better to respect someone' else FAITH.

Love is all we need to preach , because there is nothing way we can show GOD in the world than LOVE.

I pray for PEACE and serenity to every body 🙏🏽.
Ni wapumbavu Wacha Waendelee na dini zao
 
Nimesema hivi, hizi dini kila dini ina Mungu wake lakini shetani anakua ni yule yule kwa dini zote, hii inawezekanaje?

Hakuna mahala nimesema naamini shetani yupo, nilichosema Mungu hayupo, hadithi za Mungu ni hadithi za uongo na utapeli. Kama Mungu hayupo maana yake hadithi zote zinazomhusu yeye na shetani ni za uongo, wote hawapo.
Basi kama na huyo shetani hayupo basi ushirikina nao haupo maana ushirikina ni kazi ya shetani
 
Dini nyingi zinatoa tu vitisho na kutengeneza hofu kwa waamini badala ya kuwafundisha kuhusu Mungu na ukihoji unaonekana una ushetani ndani yako.
 
Back
Top Bottom