Dei Gratia Rex
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 423
- 696
Kama shetani ni yule yule basi pia historia zao zingefanana.Kwenye mahubiri ama maandiko ya dini. Mungu na shetani ni imaginary figures zilizoko kwenye maandiko ya dini. Sasa ukisoma kila maandiko ya dini yana Mungu wake, kila dini ina mungu wake ila shetani anakua ni yule yule kwa dini zote, hapo ndio utapeli unapoanzia.
Kuna dini ambazo historia za mashetani yao hazifanani kabisa na shetani wa kwenye Bible (Lucifer).
Fanya kwanza utafiti kwa kufuatilia kila dini kwa undani.