Uzuri ni kwamba hata huyo Dinna mwenyewe aliyepachikwa sifa bandia anajijuwa kwamba haya ni maziongaombwe na wala hakuna uhalisia.
Hii inanikumbusha kuna shindalo la Watangazaji bora ambalo baadaye lilihairishwa Clouds walikuwa wanatembea na gari mitaani kuwapigia debe watangazaji wao ndio wapigiwe kura na walikuwa wanatoa vocha za simu bure. Clouds fm ni zaidi ya uijuavyo.
nampenda sana Gea, na ndiye alistahili kushinda. kipindi chake cha heka heka ni kizuri sana. Huyo dina sijaona chochote cha ajabu kwenye kipindi chake.
Uzuri ni kwamba hata huyo Dinna mwenyewe aliyepachikwa sifa bandia anajijuwa kwamba haya ni maziongaombwe na wala hakuna uhalisia.
Hii inanikumbusha kuna shindalo la Watangazaji bora ambalo baadaye lilihairishwa Clouds walikuwa wanatembea na gari mitaani kuwapigia debe watangazaji wao ndio wapigiwe kura na walikuwa wanatoa vocha za simu bure. Clouds fm ni zaidi Duu iyo nayo kali au walipewa vocha za bure na mitandao ya simu.Lakini liingeendelea ni kuchukua vocha then kumpigia unampiga unayempenda hata wa kutoka vituo vingine.
Wadau watakupa jibu tu manake mie nikishasikia "Leo Tena" tu huwa nabadilisha station....anyway, cjui ni kwanini ila huenda maudhui yake hayaendani na mimi!!
Yah! You're right.....mara chache nimewahi kukiotea lakini kwavile nilikuwa sifuatilii leo tena, nilikuwa sifahamu hiyo heka heka inakuwaga saa ngapi! Ilikuwa ni hadi nikumbane nayo kwenye taa za barabarani! Ni Real Street Life ingawaje nahisi kama mara nyingi inakuwa kwa upande wa wadada zaidi.....but not boring at all!mimi huwa nafungulia saa 6 na 30 ndo kipindi cha hekeheka kinaanza coz ile show ya hekaheka ni ya ukweli maisha halisi ya mtaani na nasahibu yanayowakuta watu ndo nana nasema GEA NI ZAIDI.
me nampenda Dina...,
she is such a sweet Lady
JAMANI hii imekaa kiudaku zaidi.Eti kati ya hawa wawili nani mkali?je ile zaadi ya woman of the year aliyoshinda dinna ni sawasawa au ndo waandaji kutaka free publicity?yaani kwa kuwa ni mtangazi basi tutajulikana zaidi atakapoanza kujisifu at the same time tunatangazwaaa bureeeeeeee.JE ALISTAHILI? woman of the year unafanya mchezo?watu wanapenda utan.haya mwageni maoni nani zaidi halafu tuje kama Dinn alistahili.
(kama itakuboa mada hii tafadhali usichangie hujalazimishwa!)