Dinna marious vs gea habibu

Dinna marious vs gea habibu

Heloo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
4,391
Reaction score
3,404
JAMANI hii imekaa kiudaku zaidi.Eti kati ya hawa wawili nani mkali?je ile zaadi ya woman of the year aliyoshinda dinna ni sawasawa au ndo waandaji kutaka free publicity?yaani kwa kuwa ni mtangazi basi tutajulikana zaidi atakapoanza kujisifu at the same time tunatangazwaaa bureeeeeeee.JE ALISTAHILI? woman of the year unafanya mchezo?watu wanapenda utan.haya mwageni maoni nani zaidi halafu tuje kama Dinn alistahili.
(kama itakuboa mada hii tafadhali usichangie hujalazimishwa!)
 
Wadau watakupa jibu tu manake mie nikishasikia "Leo Tena" tu huwa nabadilisha station....anyway, cjui ni kwanini ila huenda maudhui yake hayaendani na mimi!!
 
Uzuri ni kwamba hata huyo Dinna mwenyewe aliyepachikwa sifa bandia anajijuwa kwamba haya ni maziongaombwe na wala hakuna uhalisia.

Hii inanikumbusha kuna shindalo la Watangazaji bora ambalo baadaye lilihairishwa Clouds walikuwa wanatembea na gari mitaani kuwapigia debe watangazaji wao ndio wapigiwe kura na walikuwa wanatoa vocha za simu bure. Clouds fm ni zaidi ya uijuavyo.
 
nampenda sana Gea, na ndiye alistahili kushinda. kipindi chake cha heka heka ni kizuri sana. Huyo dina sijaona chochote cha ajabu kwenye kipindi chake.
 
nampenda sana Gea, na ndiye alistahili kushinda. kipindi chake cha heka heka ni kizuri sana. Huyo dina sijaona chochote cha ajabu kwenye kipindi chake.

haswaaaaaaa umenena halafu kama umegundua huwa DINNA anapenda kujifanya anajua kila kitu ni kweli ni muongoza kipindi lakii mara nyingi akiwa anachangia hoja ZAMARADI ATAMSHUSHUA TU.Yaani sijui hao watoa tuzo waliona nini ndo maana hakukuwa hata na uungwaji mkono kwa vyombo vingine ETI WOMAN OF THE YEAR!what a shame! hakuna kitu pale yeye anamwigilizia AMINA CHIFUPA KILA KITU,ile zawadi ilipaswa kwenda kwa Gea kwani ile hekaheka anazofuatilia Dinna asingeweza,Napendekeza avuliwe ilo taji apewe Gea dada la ukweli!!
 
Uzuri ni kwamba hata huyo Dinna mwenyewe aliyepachikwa sifa bandia anajijuwa kwamba haya ni maziongaombwe na wala hakuna uhalisia.

Hii inanikumbusha kuna shindalo la Watangazaji bora ambalo baadaye lilihairishwa Clouds walikuwa wanatembea na gari mitaani kuwapigia debe watangazaji wao ndio wapigiwe kura na walikuwa wanatoa vocha za simu bure. Clouds fm ni zaidi Duu iyo nayo kali au walipewa vocha za bure na mitandao ya simu.Lakini liingeendelea ni kuchukua vocha then kumpigia unampiga unayempenda hata wa kutoka vituo vingine.
 
Wadau watakupa jibu tu manake mie nikishasikia "Leo Tena" tu huwa nabadilisha station....anyway, cjui ni kwanini ila huenda maudhui yake hayaendani na mimi!!

mimi huwa nafungulia saa 6 na 30 ndo kipindi cha hekeheka kinaanza coz ile show ya hekaheka ni ya ukweli maisha halisi ya mtaani na nasahibu yanayowakuta watu ndo nana nasema GEA NI ZAIDI.
 
mimi huwa nafungulia saa 6 na 30 ndo kipindi cha hekeheka kinaanza coz ile show ya hekaheka ni ya ukweli maisha halisi ya mtaani na nasahibu yanayowakuta watu ndo nana nasema GEA NI ZAIDI.
Yah! You're right.....mara chache nimewahi kukiotea lakini kwavile nilikuwa sifuatilii leo tena, nilikuwa sifahamu hiyo heka heka inakuwaga saa ngapi! Ilikuwa ni hadi nikumbane nayo kwenye taa za barabarani! Ni Real Street Life ingawaje nahisi kama mara nyingi inakuwa kwa upande wa wadada zaidi.....but not boring at all!
 
Na wameanza kamtindo kama bongo muvi.....Heka heka ikiwa kali wanakata pati one na two...utasikia eti muda

hautoshi tutamalizia kesho....inaudhi mpaka basi....
 
Leo tena nilikuwa nafatilia sababu Amina alikuwa mshkaji alafu alikuwa anapenda kujua maoni ya watu!
Nakumbuka niliwahi kumshauri abadili beat ya kipindi atumie beat ya hakuna hatari ya Complex (rip) akafanya hivyo ingawa ushauri wangu wa mwanzo aliukataa sababu beat niliyomshauri ilikuwa very slow.
After Amina naona kama imekuwa mipasho na taarabu flani hivi yaani naona kama hakinifai hivi!
 
kipindi cha nyuma kidogo nilikuwa nasikilizaga hicho kipindi ila now days sikifuatilii kabisa, by that time nilikuwa navutiwa zaidi na Gea Habib na heka heka zake
 
JAMANI hii imekaa kiudaku zaidi.Eti kati ya hawa wawili nani mkali?je ile zaadi ya woman of the year aliyoshinda dinna ni sawasawa au ndo waandaji kutaka free publicity?yaani kwa kuwa ni mtangazi basi tutajulikana zaidi atakapoanza kujisifu at the same time tunatangazwaaa bureeeeeeee.JE ALISTAHILI? woman of the year unafanya mchezo?watu wanapenda utan.haya mwageni maoni nani zaidi halafu tuje kama Dinn alistahili.
(kama itakuboa mada hii tafadhali usichangie hujalazimishwa!)

Naam wote wajawazito now, hakuna aliyezaidi wote sawa .......
 
Back
Top Bottom