Heloo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,391
- 3,404
JAMANI hii imekaa kiudaku zaidi.Eti kati ya hawa wawili nani mkali?je ile zaadi ya woman of the year aliyoshinda dinna ni sawasawa au ndo waandaji kutaka free publicity?yaani kwa kuwa ni mtangazi basi tutajulikana zaidi atakapoanza kujisifu at the same time tunatangazwaaa bureeeeeeee.JE ALISTAHILI? woman of the year unafanya mchezo?watu wanapenda utan.haya mwageni maoni nani zaidi halafu tuje kama Dinn alistahili.
(kama itakuboa mada hii tafadhali usichangie hujalazimishwa!)
(kama itakuboa mada hii tafadhali usichangie hujalazimishwa!)