Kwann mkuuHeri ujisomeshe mwenyewe hata kwa shidashida kuliko kukopa HESLB.
Mbona ni mwakaa huu huu wa magu watu ndo wanatafta huo mkopo nando nawasikia ila kwa kipindi kilichopita nisikia inkuaje hapo.kwa magu sahaau kuhux mkopo diploma
Habari wana JF
Hivi nilitaka kusaidiwa kitu kumoja.
Kuna siku kuna kaka yangu mmoja anasoma civil engineering pale MUST mbeya.
Alikuwa anataka kuapply mikopo kwa bodi ya mikopo na mwingine dada mmoja diploma chuo cha maji niliambiwa anamkopo wa asilimia 50 .
Sasa swali langu linakuja,watu wa diploma nao huwa wanapewa mikopo.
Hata kozi za afya vilevile ama hao tuu.
Msaada please wanaJF.
AHSANTENI....
Mkuu diploma hamna mkopo wa HESLB,isipokuwa chuo cha maji kwa kushirikiana na wizara walianzisha bodi ya mikopo pale chuoni kwaajili ya kuwakopesha wanafunzi wa diploma wanaosoma chuo cha maji tu. Pia kwa wale walioletwa direct na serikali baada ya kumaliza form four hao hawaruhusiwi kuomba maana wao wanalipiwa na serikali moja kwa moja.Habari wana JF
Hivi nilitaka kusaidiwa kitu kumoja.
Kuna siku kuna kaka yangu mmoja anasoma civil engineering pale MUST mbeya.
Alikuwa anataka kuapply mikopo kwa bodi ya mikopo na mwingine dada mmoja diploma chuo cha maji niliambiwa anamkopo wa asilimia 50 .
Sasa swali langu linakuja,watu wa diploma nao huwa wanapewa mikopo.
Hata kozi za afya vilevile ama hao tuu.
Msaada please wanaJF.
AHSANTENI....
Vyuo vingine havina mtindo huu wa kuwa na bodi ya mikopo kwa wanafunzi wake ni chuo cha maji tu ndio kina huo utaratibuAaahh okey hpo napta wazo sasa.
Kumbe intgemea na chuo husika anachosoma mwanafunzi c ndio
Hpo sawa sasa nimeelewa mkuu .Vyuo vingine havina mtindo huu wa kuwa na bodi ya mikopo kwa wanafunzi wake ni chuo cha maji tu ndio kina huo utaratibu