Tetesi: Diploma na mkopo!!!!

Tetesi: Diploma na mkopo!!!!

said duse

Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
98
Reaction score
10
Habari wana JF

Hivi nilitaka kusaidiwa kitu kumoja.
Kuna siku kuna kaka yangu mmoja anasoma civil engineering pale MUST mbeya.
Alikuwa anataka kuapply mikopo kwa bodi ya mikopo na mwingine dada mmoja diploma chuo cha maji niliambiwa anamkopo wa asilimia 50 .
Sasa swali langu linakuja,watu wa diploma nao huwa wanapewa mikopo.
Hata kozi za afya vilevile ama hao tuu.
Msaada please wanaJF.
AHSANTENI....
 
Siyo kwel hakuna mkopo kwa level ya diploma kwan siyo pesa ya kurudisha baadaye na HESLB hawahusiki bali ni wizara ambayo chuo hicho kipo chini yake na nikwawaliyo chaguliwa direct kutoka shule yaani form 4 wenye one, two na three waliyochagua chuo badala ya advance.
 
Ni tamaa , wivu au kufananisha?
Je kama kapewa kwa sababu ni yatima je ?
Masharti na vigezo kuzingatiwa.
 
Habari wana JF

Hivi nilitaka kusaidiwa kitu kumoja.
Kuna siku kuna kaka yangu mmoja anasoma civil engineering pale MUST mbeya.
Alikuwa anataka kuapply mikopo kwa bodi ya mikopo na mwingine dada mmoja diploma chuo cha maji niliambiwa anamkopo wa asilimia 50 .
Sasa swali langu linakuja,watu wa diploma nao huwa wanapewa mikopo.
Hata kozi za afya vilevile ama hao tuu.
Msaada please wanaJF.
AHSANTENI....
Mkuu diploma hamna mkopo wa HESLB,isipokuwa chuo cha maji kwa kushirikiana na wizara walianzisha bodi ya mikopo pale chuoni kwaajili ya kuwakopesha wanafunzi wa diploma wanaosoma chuo cha maji tu. Pia kwa wale walioletwa direct na serikali baada ya kumaliza form four hao hawaruhusiwi kuomba maana wao wanalipiwa na serikali moja kwa moja.
 
Aaahh okey hpo napta wazo sasa.
Kumbe intgemea na chuo husika anachosoma mwanafunzi c ndio
 
Back
Top Bottom