Habari wana JF
Hivi nilitaka kusaidiwa kitu kumoja.
Kuna siku kuna kaka yangu mmoja anasoma civil engineering pale MUST mbeya.
Alikuwa anataka kuapply mikopo kwa bodi ya mikopo na mwingine dada mmoja diploma chuo cha maji niliambiwa anamkopo wa asilimia 50 .
Sasa swali langu linakuja,watu wa diploma nao huwa wanapewa mikopo.
Hata kozi za afya vilevile ama hao tuu.
Msaada please wanaJF.
AHSANTENI....