Diplomasia ya hadaa ya Marekani yawekwa wazi. Netanyahu atoa ushahidi

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Tofauti na waungaji mkono wa Palestina kwamba wametulia kwenye nchi zao,waziri wa nchi wa Marekani amekuwa hatulii nchini kwake tangu shambulio la Hamas la oktoba 7.

Safari ya mwanzo aliyoifanya Israel na kulia hadharani ndiyo iliyomjulisha yeye ni nani na kipia ataendelea kukifanya.

Kiongozi huyo wa Marekani amewafuata viongozi wa mataifa mengi ya kiarabu akitilia nguvu wale walio jirani zaidi na Palestina.

Hata anaposusiwa na wenyeji wake huwa anakuwa na subira sana kama wanavyokuwa wanaume makahaba.

Kubwa anachowaomba viongozi wa nchi anazozitembelea ni kutoingilia kati vita hivyo kwa kisingizio visije vikasambaa katika maeneo mengine na kuwa vita vikubwa

Alipokwenda kwa kiongozi wa wapalestina,Mahmoud Abbas kule Ramallah alimdanganya kwa pesa za kodi zilizozuiliwa na Israel kwamba angepewa karibuni.

Mchambuzi wa kisiasa wa televisheni ya Aljazeera,Marwan Bishara amesema diplomasia hiyo ya Marekani ni ya hadaa sana na kwamba si kitu kigeni katika historia ya nchi hiyo.

Marwan akasema wanachokitaka Marekani ni Israel kupewa fursa ya kuwapiga Hamas bila upinzani na baada ya hapo waendeleze mipango yao mengine ya kulifuta taifa la Palestina.

Akitoa mfano Marwan ametumia kauli halisi iliyotumiwa na waziri wa nchi wa wakati huo pale Marekani ilipotaka kuivamia Iraq.Viongozi hao walipewa sura ya ubaya wa Saddam Hussein na wakaahidiwa kwamba vita vikimalizika mpango kabambe wa kuleta ufumbuzi wa mzozo wa Palestina ungeanza ambapo suluhisho linjgekuwa ni kupatikana kwa taifa huru la Palestina sambamba na kuwepo kwa taifa la Israel.

Kwa mujibu wa mahojiano hayo na Aljazeera kutoka London,Marwan amesema Marekani ilipewa vituo kwenye nchi hizo kuipiga Iraq na vita vilimalizika kwa wepesi na hatimae Saddam Hussein kuuliwa

Kilichotokea baada ya vita hivyo ni kwa taifa la Israel kumega ardhi za wapalestina kwa haraka na kuwapa wayahudi sambamba na kujenga majengo mengi kwa maelfu kwenye maeneo hayo kiasi kwamba kilichobaki kuitwa Palestina ni mitaa na viijiji vilivyosambaa katikati ya wayahudi.

Katika mahojiano haya hayo mchambuzi huyo wa kisiasa alisema baada ya Israel kumalizana na Hamas bila upinzani kutoka mataifa ya kiarabu hawatomalizia hapo.

Wataiona ni fursa muhimu ya kuwamaliza Hizbulah ambao wameonekana wataendeleza upinzani dhidi yao.

Akasema Marekani haitoondoa meli zake za kivita kwenye bahari karibu na Lebanon kwa visingizio mbali mbali mpaka pale watakapotekeleza lengo hilo kwa Hizbulah.

Maelezo hayo ya Marwan yanathibitika na kile inachokifanya tena Marekani kwa mataifa hayo hayo kwa kauli ile ile.Kabla ya hata vita havijaisha waziri mkuu wa Israel amekuwa akiropoka baadhi ya malengo ya muda mrefu kuhusiana na Gaza.

Netanyahu akiwa ameshikilia ramani ya eneo la mashariki ya kati ameonesha taifa hilo bila kuonesha mipaka ya maeneo ya wapalestina upande wa Gaza wala ukingo wa magharibi na mashariki ya Jerusalem

Akihojiwa hapo jana Netanyahu amesema vita vitakapomalizika basi itabidi Israel iendelee kuwepo Gaza bila ukomo wa muda ili kusitokee tena watu watakaokuwa na mawazo kama Hamas.

1699335352176.png

Gaza should be governed by “those who don’t want to continue the way of Hamas," Netanyahu said, before adding, "I think Israel will, for an indefinite period, will have the overall security responsibility because we’ve seen what happens when we don’t have it.”
 
Kiongozi huyo wa Marekani amewafuata viongozi wa mataifa mengi ya kiarabu akitilia nguvu wale walio jirani zaidi na Palestina.Hata anaposusiwa na wenyeji wake huwa anakuwa na subira sana kama wanavyokuwa wanaume makahaba.
Kubwa anachowaomba viongozi wa nchi anazozitembelea ni kutoingilia kati vita hivyo kwa kisingizio visije vikasambaa katika maeneo mengine na kuwa vita vikubwa
Alipokwenda kwa kiongozi wa wapalestina,Mahmoud Abbas kule Ramallah alimdanganya kwa pesa za kodi zilizozuiliwa na Israel kwamba angepewa karibuni.
Mchambuzi wa kisiasa wa televisheni ya Aljazeera,Marwan Bishara amesema diplomasia hiyo ya Marekani ni ya hadaa sana na kwamba si kitu kigeni katika historia ya nchi hiyo.
Marwan akasema wanachokitaka Marekani ni Israel kupewa fursa ya kuwapiga Hamas bila upinzani na baada ya hapo waendeleze mipango yao mengine ya kulifuta taifa la Palestina.
Akitoa mfano Marwan ametumia kauli halisi iliyotumiwa na waziri wa nchi wa wakati huo pale Marekani ilipotaka kuivamia Iraq.Viongozi hao walipewa sura ya ubaya wa Saddam Hussein na wakaahidiwa kwamba vita vikimalizika mpango kabambe wa kuleta ufumbuzi wa mzozo wa Palestina ungeanza ambapo suluhisho linjgekuwa ni kupatikana kwa taifa huru la Palestina sambamba na kuwepo kwa taifa la Israel.
Kwa mujibu wa mahojiano hayo na Aljazeera kutoka London,Marwan amesema Marekani ilipewa vituo kwenye nchi hizo kuipiga Iraq na vita vilimalizika kwa wepesi na hatimae Saddam Hussein kuuliwa
Kilichotokea baada ya vita hivyo ni kwa taifa la Israel kumega ardhi za wapalestina kwa haraka na kuwapa wayahudi sambamba na kujenga majengo mengi kwa maelfu kwenye maeneo hayo kiasi kwamba kilichobaki kuitwa Palestina ni mitaa na viijiji vilivyosambaa katikati ya wayahudi.
Katika mahojiano haya hayo mchambuzi huyo wa kisiasa alisema baada ya Israel kumalizana na Hamas bila upinzani kutoka mataifa ya kiarabu hawatomalizia hapo.Wataiona ni fursa muhimu ya kuwamaliza Hizbulah ambao wameonekana wataendeleza upinzani dhidi yao.Akasema Marekani haitoondoa meli zake za kivita kwenye bahari karibu na Lebanon kwa visingizio mbali mbali mpaka pale watakapotekeleza lengo hilo kwa Hizbulah.
Maelezo hayo ya Marwan yanathibitika na kile inachokifanya tena Marekani kwa mataifa hayo hayo kwa kauli ile ile.Kabla ya hata vita havijaisha waziri mkuu wa Israel amekuwa akiropoka baadhi ya malengo ya muda mrefu kuhusiana na Gaza.
Netanyahu akiwa ameshikilia ramani ya eneo la mashariki ya kati ameonesha taifa hilo bila kuonesha mipaka ya maeneo ya wapalestina upande wa Gaza wala ukingo wa magharibi na mashariki ya Jerusalem
Akihojiwa hapo jana Netanyahu amesema vita vitakapomalizika basi itabidi Israel iendelee kuwepo Gaza bila ukomo wa muda ili kusitokee tena watu watakaokuwa na mawazo kama Hamas.
View attachment 2806542
Gaza should be governed by “those who don’t want to continue the way of Hamas," Netanyahu said, before adding, "I think Israel will, for an indefinite period, will have the overall security responsibility because we’ve seen what happens when we don’t have it.”
Maelezo yote haya hujazungumzia uchafu wa Hamas. Hapo ndio mnakosa watu wa kuwasapoti
 
Ina maana kwa ramani hiyo Wapalestina hawana chao pale!
 
Hata hueleweki unachotaka.Wati wanauliwa kwa kimbari wewe kila siku una habari za kuulizwa Hamas.
Hata Guteres anajua kuwa wapo Hamas lakini ameona kwanza azungumzie vifo vya watu mbele ya macho ya walimwengu.
 
Huwezi kusapoti ujinga wa Hamas, na huwezi kusema vita isimame bila kuongelea mateka zaida ya 200 wanaoshikiliwa na Hamasi, tuanze na free Israel captives , then free Gaza
Wanalozungumza kwenye mitaa ya Washington ni Free Palestina. Habari za mateka wa Israel ni kitu kipya na kidogo kuliko kunyang'anywa watu uhai na heshima zao kwa miaka 75.
 
Mchuma janga hula na wa kwao.
Umeenda nchi ya jirani, umeua na kuchukua mateka mpk sasa unao na hutaki kuwaachia.
Kibaya zaidi vita imetangazwa lkn umejificha na upo kwenye makazi ya watu.
Hii ndiyo hasara yake. Wapelestina wakae vizuri na HAMAS
Waulize IDF kama wamewaona hao mateka waliokwenda kuwatafuta Gaza.Kama wamewaona kwenye kambi za wakimbizi kwanini wapige mabomu badala kwenda kuwachukua na kuondoka nao.
 
Ina maana kwa ramani hiyo Wapalestina hawana chao pale!
Huwezi kuwadanganya na kuwakalia watu kwa muda wote.Safari hii waarabu wameujua mchezo wa Israel na mwenzake na hawatomwachia afanye kama alivyopanga moja kwa moja.
 
Tofauti na waungaji mkono wa Palestina kwamba wametulia kwenye nchi zao,waziri wa nchi wa Marekani amekuwa hatulii nchini kwake tangu shambulio la Hamas la oktoba 7.

Safari ya mwanzo aliyoifanya Israel na kulia hadharani ndiyo iliyomjulisha yeye ni nani na kipia ataendelea kukifanya.

Kiongozi huyo wa Marekani amewafuata viongozi wa mataifa mengi ya kiarabu akitilia nguvu wale walio jirani zaidi na Palestina.

Hata anaposusiwa na wenyeji wake huwa anakuwa na subira sana kama wanavyokuwa wanaume makahaba.

Kubwa anachowaomba viongozi wa nchi anazozitembelea ni kutoingilia kati vita hivyo kwa kisingizio visije vikasambaa katika maeneo mengine na kuwa vita vikubwa

Alipokwenda kwa kiongozi wa wapalestina,Mahmoud Abbas kule Ramallah alimdanganya kwa pesa za kodi zilizozuiliwa na Israel kwamba angepewa karibuni.

Mchambuzi wa kisiasa wa televisheni ya Aljazeera,Marwan Bishara amesema diplomasia hiyo ya Marekani ni ya hadaa sana na kwamba si kitu kigeni katika historia ya nchi hiyo.

Marwan akasema wanachokitaka Marekani ni Israel kupewa fursa ya kuwapiga Hamas bila upinzani na baada ya hapo waendeleze mipango yao mengine ya kulifuta taifa la Palestina.

Akitoa mfano Marwan ametumia kauli halisi iliyotumiwa na waziri wa nchi wa wakati huo pale Marekani ilipotaka kuivamia Iraq.Viongozi hao walipewa sura ya ubaya wa Saddam Hussein na wakaahidiwa kwamba vita vikimalizika mpango kabambe wa kuleta ufumbuzi wa mzozo wa Palestina ungeanza ambapo suluhisho linjgekuwa ni kupatikana kwa taifa huru la Palestina sambamba na kuwepo kwa taifa la Israel.

Kwa mujibu wa mahojiano hayo na Aljazeera kutoka London,Marwan amesema Marekani ilipewa vituo kwenye nchi hizo kuipiga Iraq na vita vilimalizika kwa wepesi na hatimae Saddam Hussein kuuliwa

Kilichotokea baada ya vita hivyo ni kwa taifa la Israel kumega ardhi za wapalestina kwa haraka na kuwapa wayahudi sambamba na kujenga majengo mengi kwa maelfu kwenye maeneo hayo kiasi kwamba kilichobaki kuitwa Palestina ni mitaa na viijiji vilivyosambaa katikati ya wayahudi.

Katika mahojiano haya hayo mchambuzi huyo wa kisiasa alisema baada ya Israel kumalizana na Hamas bila upinzani kutoka mataifa ya kiarabu hawatomalizia hapo.

Wataiona ni fursa muhimu ya kuwamaliza Hizbulah ambao wameonekana wataendeleza upinzani dhidi yao.

Akasema Marekani haitoondoa meli zake za kivita kwenye bahari karibu na Lebanon kwa visingizio mbali mbali mpaka pale watakapotekeleza lengo hilo kwa Hizbulah.

Maelezo hayo ya Marwan yanathibitika na kile inachokifanya tena Marekani kwa mataifa hayo hayo kwa kauli ile ile.Kabla ya hata vita havijaisha waziri mkuu wa Israel amekuwa akiropoka baadhi ya malengo ya muda mrefu kuhusiana na Gaza.

Netanyahu akiwa ameshikilia ramani ya eneo la mashariki ya kati ameonesha taifa hilo bila kuonesha mipaka ya maeneo ya wapalestina upande wa Gaza wala ukingo wa magharibi na mashariki ya Jerusalem

Akihojiwa hapo jana Netanyahu amesema vita vitakapomalizika basi itabidi Israel iendelee kuwepo Gaza bila ukomo wa muda ili kusitokee tena watu watakaokuwa na mawazo kama Hamas.

View attachment 2806542
Gaza should be governed by “those who don’t want to continue the way of Hamas," Netanyahu said, before adding, "I think Israel will, for an indefinite period, will have the overall security responsibility because we’ve seen what happens when we don’t have it.”
MKUU OCTOBER 07 MLIFUATA NINI KULE🤣😂😂😂🤣
SI MLIKUA MNASHANGILIA??
SASA MNALIA LIA NINI
Screenshot_20231107-143147.png
 
Huwezi kuwadanganya na kuwakalia watu kwa muda wote.Safari hii waarabu wameujua mchezo wa Israel na mwenzake na hawatomwachia afanye kama alivyopanga moja kwa moja.
WARAABU NA AKILI ZAO ZA KITOTO ZA KUDAI WAYAHUDI HAWANA HAKI YA KUISHI MASHARIKI YA KATI KWENYE ARDHI YAO
KWANI MWAKA 1967 UGOMVI WALIANZISHA AKINA NANI???
KIUFUPI WAARABU HAWANA AKILI
 
Back
Top Bottom