Diplomasia ya hadaa ya Marekani yawekwa wazi. Netanyahu atoa ushahidi

V go
Tofauti na waungaji mkono wa Palestina kwamba wametulia kwenye nchi zao,waziri wa nchi wa Marekani amekuwa hatulii nchini kwake tangu shambulio la Hamas la oktoba 7.

Safari ya mwanzo aliyoifanya Israel na kulia hadharani ndiyo iliyomjulisha yeye ni nani na kipia ataendelea kukifanya.

Kiongozi huyo wa Marekani amewafuata viongozi wa mataifa mengi ya kiarabu akitilia nguvu wale walio jirani zaidi na Palestina.

Hata anaposusiwa na wenyeji wake huwa anakuwa na subira sana kama wanavyokuwa wanaume makahaba.

Kubwa anachowaomba viongozi wa nchi anazozitembelea ni kutoingilia kati vita hivyo kwa kisingizio visije vikasambaa katika maeneo mengine na kuwa vita vikubwa

Alipokwenda kwa kiongozi wa wapalestina,Mahmoud Abbas kule Ramallah alimdanganya kwa pesa za kodi zilizozuiliwa na Israel kwamba angepewa karibuni.

Mchambuzi wa kisiasa wa televisheni ya Aljazeera,Marwan Bishara amesema diplomasia hiyo ya Marekani ni ya hadaa sana na kwamba si kitu kigeni katika historia ya nchi hiyo.

Marwan akasema wanachokitaka Marekani ni Israel kupewa fursa ya kuwapiga Hamas bila upinzani na baada ya hapo waendeleze mipango yao mengine ya kulifuta taifa la Palestina.

Akitoa mfano Marwan ametumia kauli halisi iliyotumiwa na waziri wa nchi wa wakati huo pale Marekani ilipotaka kuivamia Iraq.Viongozi hao walipewa sura ya ubaya wa Saddam Hussein na wakaahidiwa kwamba vita vikimalizika mpango kabambe wa kuleta ufumbuzi wa mzozo wa Palestina ungeanza ambapo suluhisho linjgekuwa ni kupatikana kwa taifa huru la Palestina sambamba na kuwepo kwa taifa la Israel.

Kwa mujibu wa mahojiano hayo na Aljazeera kutoka London,Marwan amesema Marekani ilipewa vituo kwenye nchi hizo kuipiga Iraq na vita vilimalizika kwa wepesi na hatimae Saddam Hussein kuuliwa

Kilichotokea baada ya vita hivyo ni kwa taifa la Israel kumega ardhi za wapalestina kwa haraka na kuwapa wayahudi sambamba na kujenga majengo mengi kwa maelfu kwenye maeneo hayo kiasi kwamba kilichobaki kuitwa Palestina ni mitaa na viijiji vilivyosambaa katikati ya wayahudi.

Katika mahojiano haya hayo mchambuzi huyo wa kisiasa alisema baada ya Israel kumalizana na Hamas bila upinzani kutoka mataifa ya kiarabu hawatomalizia hapo.

Wataiona ni fursa muhimu ya kuwamaliza Hizbulah ambao wameonekana wataendeleza upinzani dhidi yao.

Akasema Marekani haitoondoa meli zake za kivita kwenye bahari karibu na Lebanon kwa visingizio mbali mbali mpaka pale watakapotekeleza lengo hilo kwa Hizbulah.

Maelezo hayo ya Marwan yanathibitika na kile inachokifanya tena Marekani kwa mataifa hayo hayo kwa kauli ile ile.Kabla ya hata vita havijaisha waziri mkuu wa Israel amekuwa akiropoka baadhi ya malengo ya muda mrefu kuhusiana na Gaza.

Netanyahu akiwa ameshikilia ramani ya eneo la mashariki ya kati ameonesha taifa hilo bila kuonesha mipaka ya maeneo ya wapalestina upande wa Gaza wala ukingo wa magharibi na mashariki ya Jerusalem

Akihojiwa hapo jana Netanyahu amesema vita vitakapomalizika basi itabidi Israel iendelee kuwepo Gaza bila ukomo wa muda ili kusitokee tena watu watakaokuwa na mawazo kama Hamas.

View attachment 2806542
Gaza should be governed by “those who don’t want to continue the way of Hamas," Netanyahu said, before adding, "I think Israel will, for an indefinite period, will have the overall security responsibility because we’ve seen what happens when we don’t have it.”
 
Hii ngom
Hata hueleweki unachotaka.Wati wanauliwa kwa kimbari wewe kila siku una habari za kuulizwa Hamas.
Hata Guteres anajua kuwa wapo Hamas lakini ameona kwanza azungumzie vifo vya watu mbele ya macho ya walimwengu.
Hii ngoma ngumu sana sio kwa Gutteres wala Muislam, Hamas walijifanya wajanja kumbe hamnazo, kupima kina ya maji kwa miguu🤣🤣🤣🤣

Wameenda wameua, wamteka wakapiga selfie allah akbar za kutosha, vyombo vyao vya habari zikatangaza na kurusha kwa mbwembwe(aljazeera)😁😁😁😁😁😁😁

Hawakujua kilichokuwa nyuma ya pazia, operesheni mafuriko ya al aqsa imeiishia wapi ndani ya mashimo, leo hii Hamas makomandoo wa Gaza tulioambiwa na akina RTI, alwaz, nk wako wapi🤣🤣🤣🤣🤣🥱

Media zao (aljazeera) kutwa nzima ni picha za watoto tu, hakuna mtu mzima Gaza anayekufa, wanalilia ceasefire🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wambieni wakija kushutuka Gaza imenyakuliwa mazima na haitarudi tena.

Israel wameamua, mateka waende nao Hamas, wao Israel wabaki na Gaza waislam wauliwe na waondolewe pale na hiyo ni mishe usataadh🤣🤣🤣
 
Naamini Hamas walijua kila kitu kwa sababu wameshaona sana.Lakini ilikuwa hakuna mda mwengine wa kusubiri na walichagua muda vizuri ili kutibua mipango yote ya Israel iliyokuwa nayo na Saudi Arabia na wenzao.
Bado ni mapema kuona mafanikio yao.Kama Israel isivyojali tena kuokoa mateka na wao Hamas pia kufa hawakuogopa na ndio maana hawajafikiria kutoka mashimoni na mateka wao kujisalimisha.
Wanawajua sana jirani zao mayahudi wasivyokuwa na ahadi.Angalia kuna njia watu wameambiwa wafuate kuelekea kusini ya Gaza wakafe kwa msongamano.Wale waliokuwa tayari kufanya hivyo wakifika njiani inabidi watembee kwa miguu kwa vile magari hayapiti kutokana na njia kubomolewa kwa makusudi.Wakishuka tu wanapigwa risasi
Kwa maana hiyo hata wakisema mateka wenu hawa hapa watapokelewa halafu watauliwa baada ya kuwakabidhi.Alifanya hivyo USA kwa askari wa Saddam Hussein walipokuwa wamekubali kuondoka Kuwait.Wote walipigwa kwa makombora kutoka angani na msafara mzima ukageuka majivu.
 
Nikwambie acha mihemuko wa kidini alwaz, Hamas hawakujua chochote, wao waliamini Hezbullah na nchi za kiislam zingeingilia kuwasaidai kumbe nothing, wewe kujifanya unajua sana Hamas unajidanganya.

Gaza imechukuliwa na mpango wa Israel na Saudia huko pale pale, Hamas hata Misri hawatakiwi sasa ndio waingie kuwasaidia? Hao Saudi hawawezi kuacaha masuala muhimu yenye tija kwa Taifa lao et kisa Hamas.

Hamas haiwakilishi Palestina kimataifa, ila wanaoumia ni Palestina hao hao, muhimu nyie maustaadh uchwara pambaneni kuleta unaufuu kwa watu wagaza na sio kutuletea ujinga wenu mnaojazana misikitini kwenu huko.

Waliotekwa wengi wao siyo hata waisraeli, ni watu wa mataifa mbalimbali na hata waliokufa pia wamo watu wa mataifa mengine, kiufupi nyie ndio mliowapa sababu na nguvu ya kuinyakua Gaza, jilaumuni wenyewe.
 
Mbona una kihehere cha kupata ushindi wa haraka.Wewe kwa ujinga wako unadhani Israel ndio kila kitu/
Unadhani watu wanaohalalisha kulawitiana na kuua watu na kupora ardhi za watu watabaki washindi katika dunia ambayo hawajui hata siku ilipoumbwa.
 
Ustaadh mimi sijuhi hayo, make kulawitiana siyo Israel tu, hata hapa bongo waislam ndio wanaongoza kwa matendo hayo huko madrasa, ninachojua ni kwamba Hamas mliibugi step aise.

Israel siyo level ya Hamas na hii hata viongozi wenu akina Hanniye, Marzuk, Deif, nk, wanatambua na ndio maana wote waliikimbia Gaza mapema, wanajua moto wa IDF ila kwenu nyie washangiliaji hamuoni hilo.

IDF wako Gaza, na wameidhibiti vilivyo, Hamas wote wako chini ya ardhi kama panya sasa hapo ushinde nani? Netanyau amesema watabaki Gaza kwa mda usio na ukomo hujasikia🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tofauti na waungaji mkono wa Palestina kwamba wametulia kwenye nchi zao,waziri wa nchi wa Marekani amekuwa hatulii nchini kwake tangu shambulio la Hamas la oktoba 7.

Safari ya mwanzo aliyoifanya Israel na kulia hadharani ndiyo iliyomjulisha yeye ni nani na kipia ataendelea kukifanya.

Kiongozi huyo wa Marekani amewafuata viongozi wa mataifa mengi ya kiarabu akitilia nguvu wale walio jirani zaidi na Palestina.

Hata anaposusiwa na wenyeji wake huwa anakuwa na subira sana kama wanavyokuwa wanaume makahaba.

Kubwa anachowaomba viongozi wa nchi anazozitembelea ni kutoingilia kati vita hivyo kwa kisingizio visije vikasambaa katika maeneo mengine na kuwa vita vikubwa

Alipokwenda kwa kiongozi wa wapalestina,Mahmoud Abbas kule Ramallah alimdanganya kwa pesa za kodi zilizozuiliwa na Israel kwamba angepewa karibuni.

Mchambuzi wa kisiasa wa televisheni ya Aljazeera,Marwan Bishara amesema diplomasia hiyo ya Marekani ni ya hadaa sana na kwamba si kitu kigeni katika historia ya nchi hiyo.

Marwan akasema wanachokitaka Marekani ni Israel kupewa fursa ya kuwapiga Hamas bila upinzani na baada ya hapo waendeleze mipango yao mengine ya kulifuta taifa la Palestina.

Akitoa mfano Marwan ametumia kauli halisi iliyotumiwa na waziri wa nchi wa wakati huo pale Marekani ilipotaka kuivamia Iraq.Viongozi hao walipewa sura ya ubaya wa Saddam Hussein na wakaahidiwa kwamba vita vikimalizika mpango kabambe wa kuleta ufumbuzi wa mzozo wa Palestina ungeanza ambapo suluhisho linjgekuwa ni kupatikana kwa taifa huru la Palestina sambamba na kuwepo kwa taifa la Israel.

Kwa mujibu wa mahojiano hayo na Aljazeera kutoka London,Marwan amesema Marekani ilipewa vituo kwenye nchi hizo kuipiga Iraq na vita vilimalizika kwa wepesi na hatimae Saddam Hussein kuuliwa

Kilichotokea baada ya vita hivyo ni kwa taifa la Israel kumega ardhi za wapalestina kwa haraka na kuwapa wayahudi sambamba na kujenga majengo mengi kwa maelfu kwenye maeneo hayo kiasi kwamba kilichobaki kuitwa Palestina ni mitaa na viijiji vilivyosambaa katikati ya wayahudi.

Katika mahojiano haya hayo mchambuzi huyo wa kisiasa alisema baada ya Israel kumalizana na Hamas bila upinzani kutoka mataifa ya kiarabu hawatomalizia hapo.

Wataiona ni fursa muhimu ya kuwamaliza Hizbulah ambao wameonekana wataendeleza upinzani dhidi yao.

Akasema Marekani haitoondoa meli zake za kivita kwenye bahari karibu na Lebanon kwa visingizio mbali mbali mpaka pale watakapotekeleza lengo hilo kwa Hizbulah.

Maelezo hayo ya Marwan yanathibitika na kile inachokifanya tena Marekani kwa mataifa hayo hayo kwa kauli ile ile.Kabla ya hata vita havijaisha waziri mkuu wa Israel amekuwa akiropoka baadhi ya malengo ya muda mrefu kuhusiana na Gaza.

Netanyahu akiwa ameshikilia ramani ya eneo la mashariki ya kati ameonesha taifa hilo bila kuonesha mipaka ya maeneo ya wapalestina upande wa Gaza wala ukingo wa magharibi na mashariki ya Jerusalem

Akihojiwa hapo jana Netanyahu amesema vita vitakapomalizika basi itabidi Israel iendelee kuwepo Gaza bila ukomo wa muda ili kusitokee tena watu watakaokuwa na mawazo kama Hamas.

View attachment 2806542
Gaza should be governed by “those who don’t want to continue the way of Hamas," Netanyahu said, before adding, "I think Israel will, for an indefinite period, will have the overall security responsibility because we’ve seen what happens when we don’t have it.”
Nilisema jana katika uzi fulani humu, kwamba naliona lengo la Israel ni kuikalia Gaza hasa kaskazini, kwa muda mrefu. Wazo la kuiangamiza Hamas siyo la siku,wiki mwezi wala mwaka. Ili kuwadhoofisha Hamasi na hata kuwamaliza Gaza lazima ulikalie eneo lao la kiutawala na miundo mbinu za kijeshi. Hapa maanisha Israel wanaenda kukontrol hadi maeneo ya maji yanayozunguka Gaza.
 
Pathetic bloodthirsty warmongers
IMG_20231102_074259.jpg
 
Maelezo yote haya hujazungumzia uchafu wa Hamas. Hapo ndio mnakosa watu wa kuwasapoti
Ndg kamwe , hawezi kuzungumzia unyama wa Hamasi,kwa dini yao mislamu kumuua asiye muislam ni haki na ni agizo la mtume, hasa akiuliwa mayahudi.
Umewahi kusikia waislamu wanailmu china kwa mateso wanayoyafanyia waislamu, Uturuki je kwa Wakurdi, Asad je kwa wasyria! Lakini kwa myahudi lazima utawasikia kwa kuwa wameambiwa adui yao ni myahudi na mkristo.
Jaribu kuchunguza chuki ya waisalmu ni kwa myahudi na mmarekani na ulaya,lakini hao ndiyo wanaowapokea wakikimbia madhira ya tawala za kiimra kwenye nchi zao
 
Ustaadh mimi sijuhi hayo, make kulawitiana siyo Israel tu, hata hapa bongo waislam ndio wanaongoza kwa matendo hayo huko madrasa, ninachojua ni kwamba Hamas mliibugi step aise.

Israel siyo level ya Hamas na hii hata viongozi wenu akina Hanniye, Marzuk, Deif, nk, wanatambua na ndio maana wote waliikimbia Gaza mapema, wanajua moto wa IDF ila kwenu nyie washangiliaji hamuoni hilo.

IDF wako Gaza, na wameidhibiti vilivyo, Hamas wote wako chini ya ardhi kama panya sasa hapo ushinde nani? Netanyau amesema watabaki Gaza kwa mda usio na ukomo hujasikia🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yote nimesikia.Nakukumbusha tu Israel haina ushindi safari hii.Walishinda mwaka1948,1967 na 1973 basi
 
Naamini Hamas walijua kila kitu kwa sababu wameshaona sana.Lakini ilikuwa hakuna mda mwengine wa kusubiri na walichagua muda vizuri ili kutibua mipango yote ya Israel iliyokuwa nayo na Saudi Arabia na wenzao.
Bado ni mapema kuona mafanikio yao.Kama Israel isivyojali tena kuokoa mateka na wao Hamas pia kufa hawakuogopa na ndio maana hawajafikiria kutoka mashimoni na mateka wao kujisalimisha.
Wanawajua sana jirani zao mayahudi wasivyokuwa na ahadi.Angalia kuna njia watu wameambiwa wafuate kuelekea kusini ya Gaza wakafe kwa msongamano.Wale waliokuwa tayari kufanya hivyo wakifika njiani inabidi watembee kwa miguu kwa vile magari hayapiti kutokana na njia kubomolewa kwa makusudi.Wakishuka tu wanapigwa risasi
Kwa maana hiyo hata wakisema mateka wenu hawa hapa watapokelewa halafu watauliwa baada ya kuwakabidhi.Alifanya hivyo USA kwa askari wa Saddam Hussein walipokuwa wamekubali kuondoka Kuwait.Wote walipigwa kwa makombora kutoka angani na msafara mzima ukageuka majivu.
Hawakujua kabisa walikuwa shortsighted na kudanganywa na Hezbollah na Iran.

Walidhani wakiivamia Israel kufanya kigaidi vita itaanza na kuiunga mkono na waislam wote. Ndo maana wakajigamba wametenda ugaidi Israel kwa ajili ya alaqsa mosque.

Pia kumbuka siku iyo ya mashambulizi kiongozi wa Hamas aliwataka waislam wote popote wenye bunduki wajitokeze waiangamize Israel.

Walifaham kabisa wataanzisha vita kati ya Israel na waislam wote.

Matokeo yake wana wamebaki wakisema Allah akbar Allah akbar huku wamebanamkundu na marinda.

Wateule wako ndani ya Gaza wanafanya yao.
 
WARAABU NA AKILI ZAO ZA KITOTO ZA KUDAI WAYAHUDI HAWANA HAKI YA KUISHI MASHARIKI YA KATI KWENYE ARDHI YAO
KWANI MWAKA 1967 UGOMVI WALIANZISHA AKINA NANI???
KIUFUPI WAARABU HAWANA AKILI

Kati yako wewe mpagani, na mwarabu mwenye dini ni nani anae jitambua?
 
Hawakujua kabisa walikuwa shortsighted na kudanganywa na Hezbollah na Iran.

Walidhani wakiivamia Israel kufanya kigaidi vita itaanza na kuiunga mkono na waislam wote. Ndo maana wakajigamba wametenda ugaidi Israel kwa ajili ya alaqsa mosque.

Pia kumbuka siku iyo ya mashambulizi kiongozi wa Hamas aliwataka waislam wote popote wenye bunduki wajitokeze waiangamize Israel.

Walifaham kabisa wataanzisha vita kati ya Israel na waislam wote.

Matokeo yake wana wamebaki wakisema Allah akbar Allah akbar huku wamebanamkundu na marinda.

Wateule wako ndani ya Gaza wanafanya yao.
Hata wote wasipofanya haina maana kuwa hawatoshinda.Ushindi utakuja kwa haraka au kwa kuchelewa.
 
Yote nimesikia.Nakukumbusha tu Israel haina ushindi safari hii.Walishinda mwaka1948,1967 na 1973 basi
Wewe ni mtoto mdogo sana kifikra ustaadh, ujui mambo yanavyokwenda una shida sehemu sio bure, najua hata roho yako tu inakusuta coz ujui ulisemalo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Bora huko nyuma kulikuwa na battle ya uhakika but Israel ilikuwa ikishinda kila mara, awamu hamna kitu, no upinzani ni Israel kujipigia tu, yaani wanatafuta mashimo yenu kwa uhuru sana hadi huruma.

Alafu nimegundua, wewe hutumii maarifa, bali unatumia mawazo ya ki alqaeda, Hamas, Hezbollah, nk. Hongera kwa ushindi wenu wa Gaza najua hadi saiz mnasherehekea huko mashimoni🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huwezi kusapoti ujinga wa Hamas, na huwezi kusema vita isimame bila kuongelea mateka zaida ya 200 wanaoshikiliwa na Hamasi, tuanze na free Israel captives , then free Gaza
Free Gaza/Palestine no suala la miaka 50+ iloyopita.
Hivi jambo lipi muhimu kuanza???
Jambo la miaka 50+ iliyopita au jambo la mwezi mmoja uliopita?
 
Wewe ni mtoto mdogo sana kifikra ustaadh, ujui mambo yanavyokwenda una shida sehemu sio bure, najua hata roho yako tu inakusuta coz ujui ulisemalo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Bora huko nyuma kulikuwa na battle ya uhakika but Israel ilikuwa ikishinda kila mara, awamu hamna kitu, no upinzani ni Israel kujipigia tu, yaani wanatafuta mashimo yenu kwa uhuru sana hadi huruma.

Alafu nimegundua, wewe hutumii maarifa, bali unatumia mawazo ya ki alqaeda, Hamas, Hezbollah, nk. Hongera kwa ushindi wenu wa Gaza najua hadi saiz mnasherehekea huko mashimoni🤣🤣🤣🤣🤣🤣
UMEONGEA KAMA MWANAFUNZI WA DARASA LA SABA.
PIA UNAONESHA MENGI HUYAJUI.
AU NIKUTAJIE VITA ALIZOSHINDWA ISRAEL???
1973 walipigwa na Misri chini ya uongozi wa Anwar Sadat na kupokonywa sinai,2006 walipigwa na hizbollah na wakafukuzwa Bint jubeir mpk shebah farms,2006 na 2008 Israel ilifanya uvamizi Gaza operation ya kuokoa mateka ikafeli wakaishia kufanya prisonal swap askari mmoja wa IDF kwa maelfu ya wafungwa wa kipalestina.
Unataka tuelezee military failure ngapi za IDF???
Asahivi hizbollah anambonda huko shebah farms ndio maana bwana wenu USA anaongeza idadi ya meli vita Mediterranean.
 
Back
Top Bottom