Hata hueleweki unachotaka.Wati wanauliwa kwa kimbari wewe kila siku una habari za kuulizwa Hamas.
Hata Guteres anajua kuwa wapo Hamas lakini ameona kwanza azungumzie vifo vya watu mbele ya macho ya walimwengu.
OkMateka 200 kwa watu 10022 haingii akilini na kama ni biashara hailipi
Wasiwape nafasi ya magaidi wa hamas kurudi tena na kujipanga kufanya mashambulizi.ajenda ya mateka leo si umeona imebadilishwa na kuwa kuikalia Gaza bila kikomo cha muda.
Member mwenzao upo huku jfWasiwape nafasi ya magaidi wa hamas kurudi tena na kujipanga kufanya mashambulizi.
Ni bora kuwa chini ya Israeli kuliko hamas maana kila mara wanaanzisha vita halafu wanakimbia chini ya mahandaki Huku wakiawaacha akina mama na watoto wanatesekaMember mwenzao upo huku jfView attachment 2807375
Ni uoni finyu huo.Kwani Hamas iliundwa kwa sababu gani.Ni huu ukandamizaji wa Israel ambao haujakoma.Ni bora kuwa chini ya Israeli kuliko hamas maana kila mara wanaanzisha vita halafu wanakimbia chini ya mahandaki Huku wakiawaacha akina mama na watoto wanateseka
Tulia mpewe dozi. Hamna mtu wa kuifuta IsraeliNi uoni finyu huo.Kwani Hamas iliundwa kwa sababu gani.Ni huu ukandamizaji wa Israel ambao haujakoma.
Hamas ni wajukuu ya waliofukuzwa mashambani na majumbani mwao mwaka 1948.
Hamas wa leo wakifa wote basi wanaozaliwa watakuwa wakali zaidi kuliko hawa mpaka Israel itakapotia akili ama kukubali kuwapa nchi yao au kufutika yenyewe kwa namna Allah atakavyopanga.Kwa sababu dhalimu huwa hadumu katika dunia.
Mtu wa kuifuta hupatikana kwa msaada wa Mwenyezi Mungu.Yeye huwa anasikiliza vilio vya watu waliodhulumiwaTulia mpewe dozi. Hamna mtu wa kuifuta Israeli
Sawa muda ndio utaamuaMtu wa kuifuta hupatikana kwa msaada wa Mwenyezi Mungu.Yeye huwa anasikiliza vilio vya watu waliodhulumiwa
Mara nyingi nimekwambia nashangaa bado hujazinduka kuwa Israel inakwenda na maji.Hamas kama wamefungua mlango tu.