Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 766
- 1,884
Hata akishindwa ni sawa, huyu mama ni sifuri kabisa...tuna bahati mbaya sana kama nchi!!.Kuna watu wanataka Mama ashindwe na hao ni Wapinzani wa Ndani kabisa
Samia Hajui demokrasia ni nini. Hata HR jinsi ya kuishi na watu wako, kodi zao na mamlaka waliokupa hujui kuishi nao. Yanatoka wapi. Watu wanaokupeleka chooni, wanaokupa jeuri, walipa kodi, wapinzani na maadui hajui hata kuongea nao.Mpaka sasa sijaelewa diplomasia ya serikali ya Mama Samia imejikita kwenye nini hasa! Uchumi, usalama au nini?
Kwa majirani zetu wa Kenya na Uganda tumeshaharibu hivyo hivyo hatuko vizuri sana na Congo na Rwanda.
Cha ajabu kwangu leo ni kwamba wakati Marekani na EU wakilalamikia hali ya mambo nchini kwetu nimeona kama vile Mama anaonyesha Urafiki wake zaidi uko na North Korea, China na Urusi. Je ni kweli hawa ndio wadau wetu wakuu kwenye maendeleo ya nchi yetu?
Je vitendo kama hivi haviathiri diplomasia yetu na watu wa Magharibi hususan wakati huu wa vita ya Ukraine?
Acha ujinga. Magufuli alikuwa Mzalendo wa kweli. Amekupa umeme, maji, hospitali, barabara, kujitambua, uzalendo.Mama amekumbatia watu wabaya the same kama mtangulizi Wake JPM sijui kwanini anaamini wapinzani wa nje ndo wabaya
Magufuri nae alikumbatia watu wa ovyo ndo maana kila siku siri zake zilikua zinavuja kwenye uliyoandika hapa Sina tatizo nayoAcha ujinga. Magufuli alikuwa Mzalendo wa kweli. Amekupa umeme, maji, hospitali, barabara, kujitambua, uzalendo.
CCM iilikuwa imekufa, ameifufua.
JPM alikupa barabara, umeme, maji, afya yako, alilinda uhai wako biologically, physically. Alipunguza rushwa,ufisadi. Kwenye siasa aliwajuwa nyie wahuni.Magufuri nae alikumbatia watu wa ovyo ndo maana kila siku siri zake zilikua zinavuja kwenye uliyoandika hapa Sina tatizo nayo
Watatusaidia kudukua majirani bila kujua kuwa wakati huo na sisi watatudukua maradufuNorth Korea watatusaidia mnoooo.. Wako vizuriii wazee wa kiduku
Subiri sasa achaguliwe ndo mtaelewa kwanini alisema Mimi na Magufuli ni kitu kimoja.Hakuna cha diplomasia, kikubwa urefu wa kamba