Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
CCM mnalipenda sana neno dipolomasiaπ¦ππ π₯ππ¦ππ¦: πππ£ππ’π ππ¦ππ π¬π π§ππ‘πππ‘ππ π¬ππ‘πβππ₯π πππ ππ§ππππ πππ§πππ πππ π£ππ‘π π¬π πππ¬π π¬π π ππ π π‘π π π§π’π§π’
Ndani ya Jiji la New York, Marekani, imefanyika Sherehe Maalum ya Kampeni ya SHE RISES - Advocacy for a New Era: Women Leading Maternal and Child Health for All, iliyoandaliwa na Mhe. Balozi Togolani Mavura, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, kwa heshima ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Sherehe hiyo inaakisi nafasi ya Tanzania katika diplomasia ya kimataifa, hususan katika kuimarisha afya ya mama na mtoto, pamoja na uongozi wa wanawake barani Afrika.
Nukuu: Umuhimu wa afya ya mama na mtoto kutoka kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye ni Bingwa wa Umoja wa Afrika wa Afya ya Mama na Mtoto, anasema:
βJaribio lijalo la Afrika katika kulinda mamlaka yake halitaamuliwa tu katika vyumba vya mikutano, mabunge na mikutano ya kilele. Litaamuliwa katika wodi za wazazi, kliniki za vijijini, vituo vya afya vya jamii na huduma za utoaji wa chanjo kwa jamii.β
Kampeni ya SHE RISES inaweka mkazo katika nafasi ya wanawake kuongoza juhudi za kuhakikisha upatikanaji wa huduma bora za afya ya mama na mtoto kwa wote, huku ikiendelea kuitangaza Tanzania katika jukwaa la kimataifa kupitia diplomasia na uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
well done balozi Togolani Mavura π€π¦ππ π₯ππ¦ππ¦: πππ£ππ’π ππ¦ππ π¬π π§ππ‘πππ‘ππ π¬ππ‘πβππ₯π πππ ππ§ππππ πππ§πππ πππ π£ππ‘π π¬π πππ¬π π¬π π ππ π π‘π π π§π’π§π’
Ndani ya Jiji la New York, Marekani, imefanyika Sherehe Maalum ya Kampeni ya SHE RISES - Advocacy for a New Era: Women Leading Maternal and Child Health for All, iliyoandaliwa na Mhe. Balozi Togolani Mavura, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, kwa heshima ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Sherehe hiyo inaakisi nafasi ya Tanzania katika diplomasia ya kimataifa, hususan katika kuimarisha afya ya mama na mtoto, pamoja na uongozi wa wanawake barani Afrika.
Nukuu: Umuhimu wa afya ya mama na mtoto kutoka kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye ni Bingwa wa Umoja wa Afrika wa Afya ya Mama na Mtoto, anasema:
βJaribio lijalo la Afrika katika kulinda mamlaka yake halitaamuliwa tu katika vyumba vya mikutano, mabunge na mikutano ya kilele. Litaamuliwa katika wodi za wazazi, kliniki za vijijini, vituo vya afya vya jamii na huduma za utoaji wa chanjo kwa jamii.β
Kampeni ya SHE RISES inaweka mkazo katika nafasi ya wanawake kuongoza juhudi za kuhakikisha upatikanaji wa huduma bora za afya ya mama na mtoto kwa wote, huku ikiendelea kuitangaza Tanzania katika jukwaa la kimataifa kupitia diplomasia na uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
In fact,CCM mnalipenda sana neno dipolomasia
Tuonyeshe wapi sherehe hii imeandikwa au kutangazwa na mashirika makubwa ya habari duniani kama BBC CNN RT CANAL FRANCE WASHINGTON POST GURDIANwell done balozi Togolani Mavura π€
Gentleman,Tuonyeshe wapi sherehe hii imeandikwa au kutangazwa na mashirika makubwa ya habari duniani kama BBC CNN RT CANAL FRANCE WASHINGTON POST GURDIAN
Sio Tbccm na Uhuru fm.
Sasa wale watoto na wajawazito alioua unaweka category gani?π¦ππ π₯ππ¦ππ¦: πππ£ππ’π ππ¦ππ π¬π π§ππ‘πππ‘ππ π¬ππ‘πβππ₯π πππ ππ§ππππ πππ§πππ πππ π£ππ‘π π¬π πππ¬π π¬π π ππ π π‘π π π§π’π§π’
Ndani ya Jiji la New York, Marekani, imefanyika Sherehe Maalum ya Kampeni ya SHE RISES - Advocacy for a New Era: Women Leading Maternal and Child Health for All, iliyoandaliwa na Mhe. Balozi Togolani Mavura, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, kwa heshima ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Sherehe hiyo inaakisi nafasi ya Tanzania katika diplomasia ya kimataifa, hususan katika kuimarisha afya ya mama na mtoto, pamoja na uongozi wa wanawake barani Afrika.
Nukuu: Umuhimu wa afya ya mama na mtoto kutoka kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye ni Bingwa wa Umoja wa Afrika wa Afya ya Mama na Mtoto, anasema:
βJaribio lijalo la Afrika katika kulinda mamlaka yake halitaamuliwa tu katika vyumba vya mikutano, mabunge na mikutano ya kilele. Litaamuliwa katika wodi za wazazi, kliniki za vijijini, vituo vya afya vya jamii na huduma za utoaji wa chanjo kwa jamii.β
Kampeni ya SHE RISES inaweka mkazo katika nafasi ya wanawake kuongoza juhudi za kuhakikisha upatikanaji wa huduma bora za afya ya mama na mtoto kwa wote, huku ikiendelea kuitangaza Tanzania katika jukwaa la kimataifa kupitia diplomasia na uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
For you and her own peril; tuone mwisho wake, si bado kidogo tu!Kama naiona minyumbu ilivyonuna aisee
Sawa, karibuπππFor you and her own peril; tuone mwisho wake, si bado kidogo tu!
Unajua tungekuwa hatutumii hizi proxy, tutumie majina yetu kamili, ingekuwa tunakua waoga kwa kipi kitakachokuja baada ya nyie waafidhina kuondoka madarakani, mngekua na maneno ya kuweka akiba. Uzuri ni kua huyu mtu aliyeua watoto, wazee, wajawazito tunamjua, na nyie mliobaki na proxy, tutawajua kwa sababu mtaombleza, mliowaulia hamjaomboleza, itakua zamu yenu!Sawa, karibuπππ
π¦ππ π₯ππ¦ππ¦: πππ£ππ’π ππ¦ππ π¬π π§ππ‘πππ‘ππ π¬ππ‘πβππ₯π πππ ππ§ππππ πππ§πππ πππ π£ππ‘π π¬π πππ¬π π¬π π ππ π π‘π π π§π’π§π’
Ndani ya Jiji la New York, Marekani, imefanyika Sherehe Maalum ya Kampeni ya SHE RISES - Advocacy for a New Era: Women Leading Maternal and Child Health for All, iliyoandaliwa na Mhe. Balozi Togolani Mavura, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, kwa heshima ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Sherehe hiyo inaakisi nafasi ya Tanzania katika diplomasia ya kimataifa, hususan katika kuimarisha afya ya mama na mtoto, pamoja na uongozi wa wanawake barani Afrika.
Nukuu: Umuhimu wa afya ya mama na mtoto kutoka kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye ni Bingwa wa Umoja wa Afrika wa Afya ya Mama na Mtoto, anasema:
βJaribio lijalo la Afrika katika kulinda mamlaka yake halitaamuliwa tu katika vyumba vya mikutano, mabunge na mikutano ya kilele. Litaamuliwa katika wodi za wazazi, kliniki za vijijini, vituo vya afya vya jamii na huduma za utoaji wa chanjo kwa jamii.β
Kampeni ya SHE RISES inaweka mkazo katika nafasi ya wanawake kuongoza juhudi za kuhakikisha upatikanaji wa huduma bora za afya ya mama na mtoto kwa wote, huku ikiendelea kuitangaza Tanzania katika jukwaa la kimataifa kupitia diplomasia na uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Samahani, umekula?!!! Na kama jibu ni "ndiyo", vp umekunywa maji?!!Unajua tungekuwa hatutumii hizi proxy, tutumie majina yetu kamili, ingekuwa tunakua waoga kwa kipi kitakachokuja baada ya nyie waafidhina kuondoka madarakani, mngekua na maneno ya kuweka akiba. Uzuri ni kua huyu mtu aliyeua watoto, wazee, wajawazito tunamjua, na nyie mliobaki na proxy, tutawajua kwa sababu mtaombleza, mliowaulia hamjaomboleza, itakua zamu yenu!
Mashoga na masagaji yatashindwa tena na tena na tena
Mimi vitu kama hivyo ni "biological" na "Basic"; ni chawa tu ndiyo anaweza kuwa na woga wa kupata vitu kama hivyo bila ya uchawaSamahani, umekula?!!! Na kama jibu ni "ndiyo", vp umekunywa maji?!!
Mashoga na masagaji yatashindwa tena na tena na tena
Kwa hiyo kutangazwa Kenya. Tanzania na Jamii Forums kumeipaisha diplomasia ya Tanzania duniani?Gentleman,
nadhani kutangazwa sio muhimu sana ingawa ni tukio la kimataifa, hata kama ni vyombo vya habari vya Tanzania na Kenya pekee ndio wamelirusha moja kwa moja live,
ila kupitia JF world kila members amepata taarifa hizo muhimu sana π
Ofcourse Yes,Kwa hiyo kutangazwa Kenya. Tanzania na Jamii Forums kumeipaisha diplomasia ya Tanzania duniani?
Punguza hasiraKama naiona minyumbu ilivyonuna aisee
Unawaza kula tu. Walikuwepo akina Sabaya makatili kuliko wewe wapo wapi Sasa? Punguza kujiona wa maana sana kuliko wengineSamahani, umekula?!!! Na kama jibu ni "ndiyo", vp umekunywa maji?!!