GOLD BOY
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 387
- 490
Habari za muda huu wanaJF, ni kijana wenu nimeleta Uzi huu tushare kwa pamoja, hivi inakuaje mtoto anafika hadi level ya sekondari kidato Cha kwanza hajui kusoma yaani haelewi chochote, na je alifaulu vipi mtihani wa darasa la nne na darasa la saba? Hili linanitia mashaka kabisa huko shuleni wanaenda kusoma kweli au ndio bora liende.