Dira ya elimu hii ya bure inaelekea wapi huko?

GOLD BOY

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
387
Reaction score
490
Habari za muda huu wanaJF, ni kijana wenu nimeleta Uzi huu tushare kwa pamoja, hivi inakuaje mtoto anafika hadi level ya sekondari kidato Cha kwanza hajui kusoma yaani haelewi chochote, na je alifaulu vipi mtihani wa darasa la nne na darasa la saba? Hili linanitia mashaka kabisa huko shuleni wanaenda kusoma kweli au ndio bora liende.
 
Sidhani kama kuna Mwanafunzi asiejua kusoma na kuandika anaeweza kufaulu mtihani na kuingia Sec.

LABDA AFANYIE PAPER NA MTU.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Mkuu kama hutojali andiko lako pia lina mapungufu kadhaa
Kuna maeneo umechanganya lugha katika namna ambayo sio nzuri "tushare"pia nadhani ni sahihi kusema linanipa mashaka na sio linanitia mashaka
Kwa kweli hali ya elimu kwa Sasa si nzuri nchini na hii inatokana na mfumo wa elimu kuelemewa na idadi kubwa ya wanafunzi huku miundombinu ikiwa sio rafiki
Sababu ziko nyingi itoshe kusema ukiwa na hela kidogo wekeza kwenye maktaba ya nyumbani kwa mtoto wako huku ukifatilia usomaji wake
 
Mimi ni mwalimu nina ushuhuda mwingi wa wanafunzi kufaulu darasa la saba ila hajui kusoma na kuandika,shule niliyopo mimi kuna mwanafunzi mmoja hajui chochote,shida elimu imegeuzwa siasa,wakuu wa shule na walimu wakuu huhofia kutolewa kwenye viti vyao ,sasa ili kuvilinda lazima wafaulishe kwa wingi.

Kuna watoto ukiwaona unabaki kyshangaa tu,
 
Duuh hii mbona kazi kwelikweli
 
Mkuu kama hutojali andiko lako pia lina mapungufu kadhaa
Kuna maeneo umechanganya lugha katika namna ambayo sio nzuri "tushare"pia nadhani ni sahihi kusema linanipa mashaka na sio linanitia mashaka
Kwa kweli hali ya elimu kwa Sasa si nzuri nchini na hii inatokana na mfumo wa elimu kuelemewa na idadi kubwa ya wanafunzi huku miundombinu ikiwa sio rafiki
Sababu ziko nyingi itoshe kusema ukiwa na hela kidogo wekeza kwenye maktaba ya nyumbani kwa mtoto wako huku ukifatilia usomaji wake
Shukrani mkuu
 
Sidhani kama kuna Mwanafunzi asiejua kusoma na kuandika anaeweza kufaulu mtihani na kuingia Sec.

LABDA AFANYIE PAPER NA MTU.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Wapo wengi sana kaka, hajui chochote ukimwambia niandikie sentensi Moja yeyote hawezi kabisa
 
Habari za muda huu wanaJF, ni kijana wenu nimeleta Uzi huu tushare kwa pamoja, hivi inakuaje mtoto anafika hadi level ya sekondari kidato Cha kwanza hajui kusoma yaani haelewi chochote, na je alifaulu vipi mtihani wa darasa la nne na darasa la saba? Hili linanitia mashaka kabisa huko shuleni wanaenda kusoma kweli au ndio bora liende.
Multiple choice questions.
Lakini nadhani mfumo unabadilika kuanzia mwaka huu kwa nilivyosikia,hakutakuwa na matumizi ya OMR tena
 
Kwahio wangelipia kungekuwa na tofauti ?

Back
Top Bottom