Direct Sales Staff (300 Positions) at NMB Bank September, 2024

Direct Sales Staff (300 Positions) at NMB Bank September, 2024

Mi jamani nishaanza kufanya Mazoezi ya intavyuuu maana sijui inakuwaje na sijawah kufanya intavyuuu [emoji4] na lugha yenyewe kuongea Ina kwama kwama labda kuandika 🥹
Acha UNAFIKI wewe.
 
Si ndo huyo fala hapo juu namuuliza analeta ngonjera wakati yeye mwenyewe haelewi NMB ni pana sana mtu unatupwa popote tu Kuna mwaka Jana mtu alipangiwa kwenye account verification tu sasa namuuliza analeta ngonjera za sjui usomi
Uongooo
 
Hizi sio zile kazi za kuzunguka kitaa unajaribu kutafuta wateja na kulipwa kwa commission ? Yaani hakuna basic....; Kuna Bank Access ilikuwa inatoa sana hizi kazi watu wanaanza baada ya wiki wanaacha yaani mtu unakuta hata nauli yake hairudi kwa siku.....
Naskia watu wanasema ni za kuzunguka huko na huko kutafuta wateja aisee .
Rafik angu anafanya kaz bank amesema zaman walikuwa wanalipwa laki 4 na ukisajili mtu unapata commission sas Ivi sales imetolewa ilo freelancer .
 
Kam ni ivyo Bora nilivyo sahau kuomb maan imenipita na kaz za kuzunguk mh stress tupu binafsi sizipend kbis
 
UNAFIK tena kufany mazoez ya interview Nina 50 nafany mazoez nisipoitwa bs ndo UNAFIK mkuu
Huyu ni mnafiki kweli sasa kama una 50 na umesema passmark ni 80 unasomea oral ya nini kama sio una yako ww?!
 
Hii ndio comment ya uyo mnae niita mnafki hamuioni ?
Ndo uache kuwaita wenzio kwamba sio wasomi. Umeshindwa kumuelewesha tuu vizuri jamani. Hii dunia ina mambo mengi wote tupo hapa kwaajili ya kutafuta kazi.🙏🏾
 
Ndo uache kuwaita wenzio kwamba sio wasomi. Umeshindwa kumuelewesha tuu vizuri jamani. Hii dunia ina mambo mengi wote tupo hapa kwaajili ya kutafuta kazi.🙏🏾
Huyo ana ulimbukeni hajajua Maisha yanaendaje anajificha nyuma ya keyboard ndaomana anaropoka tu anavojiskia mtu kama huyu ni wa kumpotezea tu hajawa matured
 
Huyo ana ulimbukeni hajajua Maisha yanaendaje anajificha nyuma ya keyboard ndaomana anaropoka tu anavojiskia mtu kama huyu ni wa kumpotezea tu hajawa matured
🙏🏾 Anyway wakianza kupigia watu wa nmb direct sales zone yoyote tuambizane jamani tujue kama feedback zimeanza kwa waliofanya aptitude test last week.
 
Back
Top Bottom