Direct Sales Staff (300 Positions) at NMB Bank September, 2024

Direct Sales Staff (300 Positions) at NMB Bank September, 2024

Contact Centre Agents Aptitude - November 2024 nan anajua maswali yake nicheki whatsAap 0743091500​

Naomba msaada ninatest yake NMB
 
Ohooo au tulio kuwa humu wote tulipata 40 maana sioni ushuhuda wa mtu kutoka humu 🥹
Mi kuna mwenzangu aliomba central zone na alipata 85 ila hajaitwa hadi leo, au ndo mambo ya connection
 
tusiwe na presha Dss hapo anza kuhesabia kuanzia december, january au february ndio wataanza kuita mwaka jana aptitude ilifanyika mwez wa 12 lakini oral watu waliitwa february
 
tusiwe na presha Dss hapo anza kuhesabia kuanzia december, january au february ndio wataanza kuita mwaka jana aptitude ilifanyika mwez wa 12 lakini oral watu waliitwa february
Na yule aliye tuma - screen shot ya interview ni vipi ?
 
Na yule aliye tuma - screen shot ya interview ni vipi ?
Siwezi kusema ni uongo au vipi lakini ukiangalia inamaanisha tz nzima yeye pekee ndio katumiwa maana kwenye magroup yote hakuna mtu mwingine wa Dss anaesema katumiwa text
 
Back
Top Bottom