Direct Sales Staff (300 Positions) at NMB Bank September, 2024

Direct Sales Staff (300 Positions) at NMB Bank September, 2024

Wakuu relax. Naoona kila siku mnaulizana. Wekeno hii issue mpaka late january ukiona kimyaa ujue hujaitwa, jiandae next time.
Na kila aliyefaulu ataitwa. Iwe passmark 50 au 80, it depends na maamuzi ya ofisi. Ila kuwaibia siri waliofanya mwaka huu. Mtachukuliwa wale wa 80 and above. Hivo asiwaeleze chchte mtu yyte. Subiri email.
Cha mwisho kuna priviledge ya vijana wenzenu ambao sasa wanazunguka mikoani na kampuni. Anything can happen between you or them ndio maana sometimes unaona mtu una 85 au 90 na bado huitwi.
Nawatakia usubiriaji mwema.
Cha msingi uwe tayari kufika sehemu husika siku utakayoitwa. Else wisse. Endeleeni na majukumu mengine.
 
Jamani hizi nafasi mbona kimya sana, au wenzangu uko mshaitwa?
 
Back
Top Bottom