kivipi yaani? mimi ni Giuseppe nawezaje kuwa nisher? Nisher ni chalii angu tu, nimekuwa rafikia na baba yake kwa muda mrefu, nisher au Nick namjua tangu akiwa mdogo sana, na wadogo zake Monica, na Kennedy.Bila Shaka We Ni Nisher.
kivipi yaani? mimi ni Giuseppe nawezaje kuwa nisher? Nisher ni chalii angu tu, nimekuwa rafikia na baba yake kwa muda mrefu, nisher au Nick namjua tangu akiwa mdogo sana, na wadogo zake Monica, na Kennedy.
Anaye deal na rangi kwenye video za hanscana ni kijana.mwingine sema ndo hivyo hajapata platform ila hanscana hafichi anasema tu akiulizwaNamkubali Jinsi Hanscana Anavyocheza Na Rangi Kwenye Video Zake.
kivipi yaani? mimi ni Giuseppe nawezaje kuwa nisher? Nisher ni chalii angu tu, nimekuwa rafikia na baba yake kwa muda mrefu, nisher au Nick namjua tangu akiwa mdogo sana, na wadogo zake Monica, na Kennedy.
Kwa kweli niliondoka TZ kitambo kidogo, wakati naondoka yeye alikuwa bado shule nadhani grade 5, kwa hiyo siyajui maisha yake ya ujanani, mara nyingi kila niendapo bongo sijawahi pata muda wa kuweza kukutana na familia yake sababu hasa baba yake amekuwa mtu wa dini ( nabii) na amekuwa na ulinzi wakati wote na mimi sio mtu wa kujipendekeza.Vipi mastori ya town ya kugegedwa ni kweli ?