Director bora wa video bongo

Director bora wa video bongo

Bila Shaka We Ni Nisher.
kivipi yaani? mimi ni Giuseppe nawezaje kuwa nisher? Nisher ni chalii angu tu, nimekuwa rafikia na baba yake kwa muda mrefu, nisher au Nick namjua tangu akiwa mdogo sana, na wadogo zake Monica, na Kennedy.
 
Toka zamani alikua na mapozi ya kike kike au kajifunzia ukubwani?
 
Namkubali Jinsi Hanscana Anavyocheza Na Rangi Kwenye Video Zake.
Anaye deal na rangi kwenye video za hanscana ni kijana.mwingine sema ndo hivyo hajapata platform ila hanscana hafichi anasema tu akiulizwa
 
kivipi yaani? mimi ni Giuseppe nawezaje kuwa nisher? Nisher ni chalii angu tu, nimekuwa rafikia na baba yake kwa muda mrefu, nisher au Nick namjua tangu akiwa mdogo sana, na wadogo zake Monica, na Kennedy.

Vipi mastori ya town ya kugegedwa ni kweli ?
 
Vipi mastori ya town ya kugegedwa ni kweli ?
Kwa kweli niliondoka TZ kitambo kidogo, wakati naondoka yeye alikuwa bado shule nadhani grade 5, kwa hiyo siyajui maisha yake ya ujanani, mara nyingi kila niendapo bongo sijawahi pata muda wa kuweza kukutana na familia yake sababu hasa baba yake amekuwa mtu wa dini ( nabii) na amekuwa na ulinzi wakati wote na mimi sio mtu wa kujipendekeza.
 
Directors wabongo sahivi wameimprove sana, nadhani kwa Afrika Mashariki hatuna upinzani kwa sasa. Naowaona wanafanya video kali zaidi kwasasa ni HANSCANA, MSAFIRI na KHALFAN ila nadhani Hanscana is the best
 
Hanscana namuona yuko pouwa sana kwa sasa
 
kuna mnyama anajiita DEF XTRO .... ana colour kali na script tamu balaa. Wanene Entertainment hawajakosea kumsainisha.
 
Kwa Tanzania naona hakuna kitu, kelele nyiiingi kina Hanscana lakini hawana jipya - Video zao zote zinafanana ila tuna wasupport kwa kuwa tu ni watu wetu. [HASHTAG]#NISHER[/HASHTAG] anajua tatizo lake ni UVIVU/UZEMBE na KUTOKUJITUMA.

- Huyo Hanscana ukiangalia video zake HAZITULII, zinayumba balaa na MG'ARO HAUTULII pia hana SHOTS nzuri za SWAGS za wasanii wakati wa kurekodi. Kuna SHOTS ambazo anashoot hazionekani vizuri utafikiri huwa anashoot anakimbia.
- Hata kwenye EDITING wanaedit graphics kiboya tu utafikiri hakuna UMUHIMU.

- Anyway binafsi kwa hapa Tanzania naona NISHER & IVAN wanajitahidi na wawe wabunifu wanaweza kufika mbali.

- Kwa Africa CAPITAL DREAMS, MO MUSA & JUSTIN CAMPOS wako vizuri.
 
Back
Top Bottom