GIUSEPPE
JF-Expert Member
- Dec 31, 2011
- 5,239
- 6,225
kivipi yaani? mimi ni Giuseppe nawezaje kuwa nisher? Nisher ni chalii angu tu, nimekuwa rafikia na baba yake kwa muda mrefu, nisher au Nick namjua tangu akiwa mdogo sana, na wadogo zake Monica, na Kennedy.Bila Shaka We Ni Nisher.