Director Joan afunga ndoa leo

Director Joan afunga ndoa leo

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,157
Yule mama mtaalamu wa kuuza na kutengeneza nikorogo ya aina zote mjini amefunga ndoa Leo.

Ndoa hii imehudhuriwa na mastaa mbalimbali wa mjini.

Joan ndoa haina mwenyewe hivyo ni wajibu wako kuitunza.

Umeamua mwenyewe kulivaa shela hukulazimishwa hivyo basi jiOngeze. Ndoa ni jambo la heri hongera sana. warumi Dinazarde n.k mnakaribishwa kumpongeza bi mama kwa hili

1416654145542.jpg
 
Last edited by a moderator:
Hongera kwa ndoa mwayego inaonyesha mikorogo inalipa maana siku hizi wakoboaji wengi mjini nadhani yeye katumia kitaulo
 
Mkorogo wake hatare...in bei haswa. Anauza pia nywele kuanzia 300,000 hadi 1,000,000. Joan unilipe nakutangazia biznes hivyo. Mnunulie wifi mkorogo na nywele

Uknw lembebiz hatumiii hayo yote.... labda umshawishi Lemutuz amnunulie baby wake!
Basi ana tengeneza hela sana mwambie alete matangazo jf!
 
Uknw lembebiz hatumiii hayo yote.... labda umshawishi Lemutuz amnunulie baby wake!
Basi ana tengeneza hela sana mwambie alete matangazo jf!

Huyu ndie supplier mkuu wa mikorogo kwa stars na Toto za town dar es salaam
 
Yule mama mtaalamu wa kuuza na kutengeneza nikorogo ya aina zote mjini amefunga ndoa Leo. Ndoa hii imehudhuriwa na mastaa mbalimbali wa mjini. Joan ndoa haina mwenyewe hivyo ni wajibu wako kuitunza. Umeamua mwenyewe kulivaa shela hukulazimishwa hivyo basi jiOngeze. Ndoa ni jambo la heri hongera sana. warumi Dinazarde n.k mnakaribishwa kumpongeza bi mama kwa hili

Hizo kope za mpambe wa bi haruc hata cjazielewa au macho yangu hayaoni vzr jamani mweeee
 
Last edited by a moderator:
Mhhh hivi director Joan baba yake ni mchina au?maana ana kama uchina flani hivi tofauti na hicho kitaulo..
Huyo bwana alimtangaza insta juzijuzi tu leo ndoa juu
Haya bibi na wewe nenda ukayaone ya ndoa maana ulivyokua unawakuwadia waume za watu sijui yako itakuwaje...
 
Back
Top Bottom