Director Joan afunga ndoa leo

Director Joan afunga ndoa leo

Ndani ya BMW ImageUploadedByJamiiForums1416673017.370503.jpg
 
jamani wambea wenzangu mmeona picha ya RIO PAUL ig anakata mauno nimeona kwa usipojipanga
 
Mmh maharusi wa siku hizi bana, yani hadi siku ya harusi tunabeba na simu zetu jamani, ndo tunataka tu-update kila tukio au?
Sasa yeye haupendi weusi na kajichubua, afu still anaenda kuolewa na mwanaume mweusi mweeeee si angetafuta mweupe sasa. Mtoto akizaliwa mweusi atamchubua au?
Joan ni 0.5
 
Joan hata kama anapaka ivyo vitu lakini sio mweusi asili yake namjua toka binti mdogo wa miaka 10 nichotara wa kizungu baba yake ni mzungu mama yake mswahili
 
Ni poor mentality ya kufikiri uzuri ni lazima uwe mweupe wengine huwa wanachekesha sura haieleweki kajicream siku hizi hadi mama wazima unakuta mwekundu si mwekundu yani shida tupu

Tatizo wa2 hawakubali uumbaji w allah kumbe mrembo alikua anavaa kyupi yenye shape kuvutia wa2.cku jamaa kaopoa kufika hotel mbna sura ileile iila shape sio jamaa akamwambia game iz over ham ikakata
 
Back
Top Bottom