Director Joan afunga ndoa leo

Director Joan afunga ndoa leo

huyu jamaa ni wakuchapa viboko kabisa! Leo ndio nimeamini ni shoga kabisa daa halafu linakatika kabisa huku linacheka! hivi ana wazazi hapa Tanzania? huyu kama ni mwanao hata kugawa zawadi hakuna atakaye mkubali labda Wazee wa Mombasa! Mi nashangaa Tanzania watu kama hawa kwanini wasipigwe marufuku?

amezaliwa tanzania amesoma hapahapa mzizima ana 21 umri ni gay toka enzi
 
Halaf Rio paul mbaya jamani sura yake imepinda na yale masikio sasaa yalivyosimama kama Antena
 
Yeye ni celebrity wa nini?
Bongo tuna upungufu wa celebrities?




hapana c upungufu mkuu.... ww umechelewa, joan n maarufu kitambo kbla hata ya kina wema na wenzakee. nizamani mno me namjua akiwa mtangazaj chanel ten , sema kipnd chke ndo ckumbuk ila kilikua ni cha muzk
 
Yule mama mtaalamu wa kuuza na kutengeneza nikorogo ya aina zote mjini amefunga ndoa Leo. Ndoa hii imehudhuriwa na mastaa mbalimbali wa mjini. Joan ndoa haina mwenyewe hivyo ni wajibu wako kuitunza. Umeamua mwenyewe kulivaa shela hukulazimishwa hivyo basi jiOngeze. Ndoa ni jambo la heri hongera sana. warumi Dinazarde n.k mnakaribishwa kumpongeza bi mama kwa hili

Hongera zake Joan aka Misana Magono aliyekuwa mchanjaji mkubwa UK sijui kaacha siku hzo u mission town
 
Last edited by a moderator:
Dah namtakia kila la kheri kwwli Mungu akipanga manake alivyalishwaga Pete ya uchumba na mkaka Fulani naona harusi haikufanikiwa
 
Jamani miss world ishapita au? ???happy imekuwajeeew
 
Back
Top Bottom