Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Kumbe yeye ndio hushawishi wajikoboe!
Mkorogo wake hatare...in bei haswa. Anauza pia nywele kuanzia 300,000 hadi 1,000,000. Joan unilipe nakutangazia biznes hivyo. Mnunulie wifi mkorogo na nywele
Hongera kwa ndoa mwayego inaonyesha mikorogo inalipa maana siku hizi wakoboaji wengi mjini nadhani yeye katumia kitaulo
Hongera kwa ndoa mwayego inaonyesha mikorogo inalipa maana siku hizi wakoboaji wengi mjini nadhani yeye katumia kitaulo
Ina maana huo weupe sio wakuzaliwa nao?
Ina maana huo weupe sio wakuzaliwa nao?
Uknw lembebiz hatumiii hayo yote.... labda umshawishi Lemutuz amnunulie baby wake!
Basi ana tengeneza hela sana mwambie alete matangazo jf!
Hicho kitaulo na mkorogo wa hali ya juu anajua kuuchanganya ule expensive
Heeh me nlijua kitaulo ndo mkorogo kumbe tofauti
Yule mama mtaalamu wa kuuza na kutengeneza nikorogo ya aina zote mjini amefunga ndoa Leo. Ndoa hii imehudhuriwa na mastaa mbalimbali wa mjini. Joan ndoa haina mwenyewe hivyo ni wajibu wako kuitunza. Umeamua mwenyewe kulivaa shela hukulazimishwa hivyo basi jiOngeze. Ndoa ni jambo la heri hongera sana. warumi Dinazarde n.k mnakaribishwa kumpongeza bi mama kwa hili
Hizo kope za mpambe wa bi haruc hata cjazielewa au macho yangu hayaoni vzr jamani mweeee
Hicho kitaulo na mkorogo wa hali ya juu anajua kuuchanganya ule expensive
Huyu ndie supplier mkuu wa mikorogo kwa stars na Toto za town dar es salaam
Hicho kitaulo na mkorogo wa hali ya juu anajua kuuchanganya ule expensive
Madam ndio anachukua kwake nini mana nimemuona kwenye kipindi chake usoni kawa kma jini kitorondo