Director Joan afunga ndoa leo

Lyumbaa alioa hpo
Dah hyu Joan namjua tokea kakiwa primary kumbukumbu kalikua kabichi 0 km
Nako kakawa kana rap eti enzi hzo
Ila sahv Kawa gube ×2

Ova


. Maisha ndivyo yalivyo mkuu, wote sisi zamani tulikuwa mahandsome, lakini sasa hivi tumechakaa kwa gongo.
 
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
naskia wadada wanaoenda China huwa wanapitia mikononi kwa huyu dada/mama
 
Hivi ni kweli wamerudiana? Maana director ana mtoto wa kiume na mwanaume mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…