Director Joan afunga ndoa leo

Director Joan afunga ndoa leo

Lyumbaa alioa hpo
Dah hyu Joan namjua tokea kakiwa primary kumbukumbu kalikua kabichi 0 km
Nako kakawa kana rap eti enzi hzo
Ila sahv Kawa gube ×2

Ova


. Maisha ndivyo yalivyo mkuu, wote sisi zamani tulikuwa mahandsome, lakini sasa hivi tumechakaa kwa gongo.
 
Aingie maabara atengeze mkorogo wa kutoa usugu na kutakatisha mazingira ya papuchi.....
Maana kuhusu receiption amefanikiwa tuwaona wadada wanavyong'aa huko town....kiasi inatupa tabu kuwatofautisha dada zetu wa kizaramo na wazungu....tatizo bado lipo makao makuu ya wizara ya ladha na burudani
Mazingira yake bado hayamvutii mwekezaji...
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
naskia wadada wanaoenda China huwa wanapitia mikononi kwa huyu dada/mama
 
Hivi ni kweli wamerudiana? Maana director ana mtoto wa kiume na mwanaume mwingine
 
Back
Top Bottom