Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Poleni sana kwa msiba huu!Aslay, NavyKenzo, Christian Bella, Baby Madaha, Chinbees, Shilole na Linah
RIPAliyekuwa Mtayarishaji wa Video za Muziki wa Bongo Flava Nchini, Khalfani Khalimandro amefariki Dunia
Director Khalfani alilazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) akiwa na tatizo la Damu kuvilia kwenye Ubongo lililomsababishia kupata Kiharusi (Stroke) upande wake wa kulia
Enzi za Uhai wake alijipatia umaarufu kwa kuongoza Video za Wasanii kama Aslay, NavyKenzo, Christian Bella, Baby Madaha, Chinbees, Shilole na Linah
View attachment 2981038
Huyu alipata stroke, ushawahi sikia stroke sasa huyu alipata. Inatokea kwa mtu yyte na ghafla sasa sababu kazisome popote. Ila stroke unaaweza kuwa na shughuli zako za kila siku, mawazo ghafla paap stroke.Rest in Peace.
Je iligundukika ni kwa nini damu ilivilia kwenye ubongo?
What? Oh masikini Khalfan mdogo sana!Aliyekuwa Mtayarishaji wa Video za Muziki wa Bongo Flava Nchini, Khalfani Khalimandro amefariki Dunia