kisepi
JF-Expert Member
- Jun 9, 2015
- 2,121
- 1,114
Pressure kusababisha mishipa ya damu kupasuka,Rest in Peace.
Je iligundukika ni kwa nini damu ilivilia kwenye ubongo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pressure kusababisha mishipa ya damu kupasuka,Rest in Peace.
Je iligundukika ni kwa nini damu ilivilia kwenye ubongo?
Japo Gadner hakuwa kijana.VIjana maarufu wanaenda kwa kasi.
Nisha, Garner(Babu G), Zuchi, Director
Ni swala la mda
Ni swala la mda
Ili iwe tanzia kuna vigezo vyake..
Ili iwe tanzia kuna vigezo vyake..
Mana hawawezi kila msiba kuweka tanzia.
TANZIA jua ni kama alert hivi hivo wanaangalia uzito wa muhusika.
Uzito wa muhusika unapimwa kwa replies za watu na viewers
Nimefikilia tu
Ni sula la mda hata huu utawekewa tanzia soon as possible
Sasa hapa utaona wingi wa replies na viewers itafanya huu msiba uwe serious hvo mapema watabandika kibao cha TANZIANimekuelewa ni kama Marehemu na Hayati
😀🤣
Kama huyu 👇 hawezi kuwa Tanzia
Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza afariki kwa kujinyonga baada ya kunyang’anywa simu na kaka yake
Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza aliyekuwa anasoma Shule ya Sekondari Sarungi, Wilayani Rorya amejinyonga kwa kamba ya katani chumbani kwake kwake baada ya kudaiwa kutokea mzozo na kaka yake Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime, Mark Njera amesema “Binti huyo mwenye...www.jamiiforums.com
👍Sasa hapa utaona wingi wa replies na viewers itafanya huu msiba uwe serious hvo mapema watabandika kibao cha TANZIA
Sijui kwanini yani mkuu..mimi hapa nilipo mtaani kuna misiba imetokea jana watu 3 leo mmoja. It means kuna raia wa 4 wametutoka na wiki zilizopita kila wiki tunazika.Mwezi wa 4 mpaka wa 5 mwanzoni huwa unapenda kuondoka na watu wengiiii...!
Yesu mwenyewe alisepa AprilSijui kwanini yani mkuu..mimi hapa nilipo mtaani kuna misiba imetokea jana watu 3 leo mmoja. It means kuna raia wa 4 wametutoka na wiki zilizopita kila wiki tunazika.