TANZIA Director Khalfani afariki Dunia

vijana pimeni pressure ya moyo kila wakati vijana sasa hivi ndio wanaongoza kwa kufa kwa high blood pressure mnajiona mko sawa kumbe mnatembea na bomu pimeni pimeni na mtumie dawa
Kabsa kabsa mkuu. Na ukianza kutumia dawa yakupasa kubadili mfumo wako wa maisha .
Pima,tumia dawa for life.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…