Lady Mwali
Senior Member
- Nov 15, 2018
- 147
- 333
Nimeshtushwa na maneno ya dharau ya huyu director wa filamu inayotangaza utalii nchini Tanzania ya Royal Tour kwa rais wetu Bibi Samia Suluhu Hassan.
Amemshauri mh.Rais aache urais awe muigizija, kwani amevutiwa na uigizaji wake.
Vile vile anamuita mtukufu rais kwa jina lake ''Samia", baada ya mh.rais.
Hata mh.Rais mwenyewe kashangaa , anasema huyu jamaa amesahau kama yupo nchini Tanzania.
Rai yangu huyu jamaa aache kumdharau rais wetu.