Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,120
- 2,153
Kwanza hakuna mtu hapa duniani ana utukufu. Kwa wenzetu wazungu Rais ni binadamu tu kama mtu mwingine yeyote ndiyo maana Rais hata wa US wananchi wake wanaweza kumnanga na hawafanywi chochote na vyombo vya dola. Refer Trump walitengeneza sanamu yake ya rubber tena iliyo tupu ikatembezwa barabarani watu wanaipiga na kufanya wanachotaka na hakuna aliyekamatwa. Sanasana Police wanalinda tu kusitokee uvunjifu wa amani.Nimeshtushwa na maneno ya dharau ya huyu director wa filamu inayotangaza utalii nchini Tanzania ya Royal Tour kwa rais wetu Bibi Samia Suluhu Hassan.
Amemshauri mh.Rais aache urais awe muigizija, kwani amevutiwa na uigizaji wake.
Vile vile anamuita mtukufu rais kwa jina lake ''Samia", baada ya mh.rais.
Hata mh.Rais mwenyewe kashangaa , anasema huyu jamaa amesahau kama yupo nchini Tanzania.
Rai yangu huyu jamaa aache kumdharau rais wetu.
Siyo huku Rais mnamuona kama Mungu mtu.
Angalizo: Siko against Samia
Samia tena 2025!!!!