Lady Mwali
Senior Member
- Nov 15, 2018
- 147
- 333
Nanii?Akiacha tu urais anapewa scene za kuigiza uchawi..[emoji1787]
Amemkosea sana rais wetu...jana nilivyomsikia mh.Rais Clouds FM akimzungumzia huyo director Jinsi anavyomwambia maneno ya dharau nilishangaa sana...rais lazima apewe heshima yake.Mheshimiwa kwa nani ?
Heshima inalazishwa ?.., Ni choice yako hata kama ukitaka kumuita mtu Mtukufu hio ni Prerogative yako.., ila sio ulazimishe watu wafanye hivyo...
Mfano kuna watu wanaweza kuona kitu / mtu wewe unachokiheshimu kwamba ni cha ovyo, sasa kuwalazimisha hao nao wakiona kinaheshimika nadhani ni kupitiwa na wakati...
Nani..?🙄
Okay sawa, ni maoni yako.Nimeshtushwa na maneno ya dharau ya huyu director wa filamu inayotangaza utalii nchini Tanzania ya Royal Tour kwa rais wetu Bibi Samia Suluhu Hassan.
Amemshauri mh.Rais aache urais awe muigizija, kwani amevutiwa na uigizaji wake.
Vile vile anamuita mtukufu rais kwa jina lake ''Samia", baada ya mh.rais.
Hata mh.Rais mwenyewe kashangaa , anasema huyu jamaa amesahau kama yupo nchini Tanzania.
Rai yangu huyu jamaa aache kumdharau rais wetu.
Ilikuwa kipindi cha Amplifaya cha Millard ayo Clouds FM jana 25/04/2022eka clip tumsikilize
Wazungu wapo direct dogoNimeshtushwa na maneno ya dharau ya huyu director wa filamu inayotangaza utalii nchini Tanzania ya Royal Tour kwa rais wetu Bibi Samia Suluhu Hassan.
Amemshauri mh.Rais aache urais awe muigizija, kwani amevutiwa na uigizaji wake.
Vile vile anamuita mtukufu rais kwa jina lake ''Samia", baada ya mh.rais.
Hata mh.Rais mwenyewe kashangaa , anasema huyu jamaa amesahau kama yupo nchini Tanzania.
Rai yangu huyu jamaa aache kumdharau rais wetu.
Waigizaji film wanadharaulika?Nimeshtushwa na maneno ya dharau ya huyu director wa filamu inayotangaza utalii nchini Tanzania ya Royal Tour kwa rais wetu Bibi Samia Suluhu Hassan.
Amemshauri mh.Rais aache urais awe muigizija, kwani amevutiwa na uigizaji wake.
Vile vile anamuita mtukufu rais kwa jina lake ''Samia", baada ya mh.rais.
Hata mh.Rais mwenyewe kashangaa , anasema huyu jamaa amesahau kama yupo nchini Tanzania.
Rai yangu huyu jamaa aache kumdharau rais wetu.
Nyie ndo mlimwita mwendazake munguAmemkosea sana rais wetu...jana nilivyomsikia mh.Rais Clouds FM akimzungumzia huyo director Jinsi anavyomwambia maneno ya dharau nilishangaa sana...rais lazima apewe heshima yake.