Director wa filamu ya Royal Tour aache kumdharau Rais Samia

Hata hivyo mama kampenda sana director[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji23] jamani peeeter hukuliona hilo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utapimwa mkojo ohooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Raisi mwenyewe alisema ilibidi Uraisi auweke pembeni wakati wa kuigiza maana kuna wakati scene moja alikuwa anairudia mara 10 angesema sirudii ingekuwaje

sasa sijui shida yako iko wapi
 
Well, heshima ni muhimu kuionuesha kwa kwa mwenye mamlaka kwa niaba ya wengi waliompa hayo mamlaka, hata kwa unafiki, tuonyeshe heshima
 
Hayo maneno yao tumeyataka wenyewe sasa twaiona konko na kulalamika lalamika
 
Amemkosea sana rais wetu...jana nilivyomsikia mh.Rais Clouds FM akimzungumzia huyo director Jinsi anavyomwambia maneno ya dharau nilishangaa sana...rais lazima apewe heshima yake.
Alilitaka mwenyewe, angeweza kuizindua filamu kupitia video conference badala ya kwenda huko, pia kwa Rais kukaa kwenye nchi nyingine yenye Rais kwa wiki mbili ni jambo la kushangaza kwa wenzetu, tusimlaumu ila tujifunze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…