Director wa filamu ya Royal Tour aache kumdharau Rais Samia

Kwanza hakuna mtu hapa duniani ana utukufu. Kwa wenzetu wazungu Rais ni binadamu tu kama mtu mwingine yeyote ndiyo maana Rais hata wa US wananchi wake wanaweza kumnanga na hawafanywi chochote na vyombo vya dola. Refer Trump walitengeneza sanamu yake ya rubber tena iliyo tupu ikatembezwa barabarani watu wanaipiga na kufanya wanachotaka na hakuna aliyekamatwa. Sanasana Police wanalinda tu kusitokee uvunjifu wa amani.

Siyo huku Rais mnamuona kama Mungu mtu.

Angalizo: Siko against Samia

Samia tena 2025!!!!
 
Kumbe huwa mnapiga kura tu bila ya kuelewa maana yake!!! We have a very long way to go!!! Hukujua maana ya mgombea mwenza!!!
 
Mzungu hata Mzazi wake humwita kwa Jina lake tena la kwanza.
Ni utamaduni wao, hana nia mbaya.
 
Nani? Unamaanisha Rambo?
 
Kwani uongo?

Anafaa uigizaji na sio uongozi, tena apewe scènes za kichawi kama yule Bi Mwenda atapendeza sana.

Uliona alivyovua samaki mkubwa? [emoji476] [emoji16][emoji16][emoji16]
Mnalo hilo hadi 2030, labda Mungu aamue vinginevyo.
 
Hii scene gan? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ushawahi kusikia mheshimiwa JOE mara kwa mara kwenye media za US au UK? Mheshimiwa ni kila mtu ata wewe ni mheshimiwa , sasa unavyomhita mtu mheshimiwa nani mzalauliwa?😀😀
 
Mh ukiona haitwi muheshimiwa basi thamani yake ipo chini na kuna vitu sio vya kulazimisha[emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…