Dirisha bado halijafungwa, Simba tafuteni mbadala wa Fredy na ngoma tu, halafu kazi imeisha

Dirisha bado halijafungwa, Simba tafuteni mbadala wa Fredy na ngoma tu, halafu kazi imeisha

Hao huwezi ukawaona sababu hauna namba kumi mpaka sasa.Mechi ya juzi na ya leo namba kumi imepwaya.

Halafu kumbuka zile offside za Pacome na Aziz yote magoli yale,bado hujaja kwenye tuta la Aziz.

Yule Deborah hawezi kumweka benchi ngoma,sababu anapoteza mipira mingi hata kukaba kwake hana tofauti na Ngoma alicho mzidi speed.
 
Mtali anataka kucheza kama Luis Miquison wa zamani lakini anakosa maamuzi mazuri, mashuti hawezi kupiga, Simba haina striker, hata shuti moja la kumsumbua Diara hakuna.
 
Back
Top Bottom