Dirisha bado halijafungwa, Simba tafuteni mbadala wa Fredy na ngoma tu, halafu kazi imeisha

Dirisha bado halijafungwa, Simba tafuteni mbadala wa Fredy na ngoma tu, halafu kazi imeisha

watakaoletwa badala ya wawalete waone.watapigwa misumari hadi washangae.
 
Hii mbona ni kubwa mkuu, anatakiwa aione mohamed dewji hii ..swali ni kwanini wakutishie mtu mwenye weledi angejibu kwa hoja na akupe sababu kwamba kwanini akae hapo alipo , kumbe wasalit wa simba ni simba wenyewe ..
Ndugu meseji nilizi-screeshort zote ngoja nicheck jinsi ya kuzipost hapa jamii forum.
 
Back
Top Bottom