Dirisha bado halijafungwa, Simba tafuteni mbadala wa Fredy na ngoma tu, halafu kazi imeisha

Dirisha bado halijafungwa, Simba tafuteni mbadala wa Fredy na ngoma tu, halafu kazi imeisha

We wamkoa gani wewee!.......mbona mshamba hivi?
Neno JAMANI ni lakike?
Hebu niambie huko mkoani kwenu neno la kiume ni lipi?

Oyah, sio poa, kweli Tanzania kubwa, sio kwa hili.
Alafu anajiona wa kiume,kuchamba wanaume wenzako kama demu,
 
Hicho kiwango cha yanga ndicho cha mwisho, hakuna maajabu mengne, subir watoto wa Simba wazoeane tu, kuna siku utakumbuka hii msg
Tuna kikosi kizuri hatuna timu bado. Wachezaji wakishatengeneza chemistry kikosi kikawa timu, Simba itakuwa bora mno. Yanga wapo kwenye peak, walishatengeneza timu na wachezaji wanafahamiana.
 
Hao huwezi ukawaona sababu hauna namba kumi mpaka sasa.Mechi ya juzi na ya leo namba kumi imepwaya.

Halafu kumbuka zile offside za Pacome na Aziz yote magoli yale,bado hujaja kwenye tuta la Aziz.

Yule Deborah hawezi kumweka benchi ngoma,sababu anapoteza mipira mingi hata kukaba kwake hana tofauti na Ngoma alicho mzidi speed.
Debrah hawez kumuweka ngoma benchi? Seriously? Debrah ndio amecheza vizur mwepesi kuliko hata ngoma, angalia ngoma alivyoingia yanga wakaanza kupanda sana? Hilo ni tatizo la namba 10 ?

Ngoma no longer haendani na kasi ya simba , mzamiru, kapombe, kibu. Hawa watu ni choka mbaya
 
Deborah kwangu hajacheza vizuri sababu alipoteza mipira mingi sana tena kwenye zone yake,ngoma hana speed ila upande wa kupiga accuracy pass yupo vizuri kuliko Deborah.
 
Mzamiru vp nae aendelee kusalia simba hadi uzee umkute simba? Sina imani na matola kila akirejea simba timu haishindi kwenye mechi ya kushnda kama hii ya leo
Mzamiru umri umeshamtupa mkono ishu ya kocha msaidizi wa kudumu Matola inajulikana muda mrefu ni mnafika na mpika majungu.
Wiki mbili zilizopita niliandika maoni yangu kuhusu weledi wa Matola na Rweyemamu kwenye ukurasa wa Instagram wa mtangazaji Tunu Hassan kilichofuata Rweyemamu alinifuata inbox na kunipa vitisho pamoja na maneno ya kejeli.
 
Deborah kwangu hajacheza vizuri sababu alipoteza mipira mingi sana tena kwenye zone yake,ngoma hana speed ila upande wa kupiga accuracy pass yupo vizuri kuliko Deborah.
Kaka have some respect debrah ndio kiungo anategemewa kwa sasa, the guy is good. Ngoma ni mzito kufanya maamuzi, mzito kukimbia, debrah hana hivo vitu halaf si wa kupiga pasi za nyuma sana.
Kupoteza mipira si tatizo la mchezaji ni combination ya wanaomzunguka

Debrah atoke, kapombe je , mzamiru? Hao walikuwa wanacheza nini?
 
Kapombe na Mzamiru ni muda wa kocha kufanya maamuzi magumu hata Shabalala.
 
MCHUKUUE KIBU, MUTALE, DEBORA, NA AWESU AWESU WAWEKE KWENYE BRENDA SAGA KWA DAKIKA MOJA KISHA TIA SHABALALA NA KAPOMBE KIDOGO SAGA TENA KISHA TIA SHABALALA NA KAPOMBE SAGA TENA KISHA TIA MZAMIRU NA MUKWALA KWA MBALI SAGA KIDOGO TENA HALFU WEKA BALUA VIJIKO VIWILI NA FONDO MALONE KIJIKO KIMOJA HALFU KOROGA VIZURI NDIO UNAMPATA PROFESA WA MPIRA PACOME ZOUA ZOUA😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻
 
Back
Top Bottom