Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Habari zenu wakuu naomba kufaham mambo kadhaa mm ni muhandisi nataka kufanya maombi ya ajira zilizotangazwa kwahyo kwa mzoefu aniambie kwenye teaching subjects inabd niandike zile mfano electrical installation na engineering science au masomo ya physics na mathematics maana nimeona nafas ipo kwa sekondari school.
Naomba mwenye uelevu hapa anisaidie nataka kufanya maombi
 
Weka masomo ya physics na maths
 
Hivi walimu wa arts Kiswahili na geography wanaomba primary school au secondary.
Kwangu Mimi nimejaza taarifa zingine sawasawa ila kwenye shule wamekuja kuweka za secondary ingawa kwenye tangazo walionyesha kwamba watu wa Kiswahili na geography wanatakiwa kuomba primary school nakosea wapi
 
Toka lini
 
Wandugu kuna changamoto nakutana nayo hapa imebidi nije kwenu. Mwaka jana around February nilitengeneza account. Leo nikiitumia naambiwa unauthorized user. Nilitengeneza account mpya naambiwa hiyo account tayari ipo. How do I get breakthrough? Your help please.
 
Tumia ya majina matatu ya nida na katika hsyo matatu mawili yawe kwenye vyeti vysko vya taaluma
 
Jamani mi naona nimeharibu kazi.
Nimejaza machaguo 9 nikasubmit na niikaambiwa application is succesfull.
Wengine wakiapply wanaambiwa machaguo yasizid matano
 
Tatizo kama langu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…