Hiyo inayoanza na katibu mkuuSamahani jamani Anuani ya muandikiwa ndiyo ile iliyoandikwa
Mtaa wa serikali- mtumba.
mtaa wa tamisemi
S.l.p 1923
Au Ni ile ya a chini pale iliyoandikwa
Katibu mkuu,
Ofisi ya rais tamisemi
NAOMBENI MSAADA WAKUU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo inayoanza na katibu mkuuSamahani jamani Anuani ya muandikiwa ndiyo ile iliyoandikwa
Mtaa wa serikali- mtumba.
mtaa wa tamisemi
S.l.p 1923
Au Ni ile ya a chini pale iliyoandikwa
Katibu mkuu,
Ofisi ya rais tamisemi
NAOMBENI MSAADA WAKUU
Weka masomo ya physics na mathsHabari zenu wakuu naomba kufaham mambo kadhaa mm ni muhandisi nataka kufanya maombi ya ajira zilizotangazwa kwahyo kwa mzoefu aniambie kwenye teaching subjects inabd niandike zile mfano electrical installation na engineering science au masomo ya physics na mathematics maana nimeona nafas ipo kwa sekondari school.
Naomba mwenye uelevu hapa anisaidie nataka kufanya maombi
Kwanini asiweke fani yake hiyo hiyo ambayo imewekwa kama somo kwenye system.Weka masomo ya physics na maths
Umetumia njia gani mkuu, mimi kwangu hayo mapulizo(bubles) hayataki kutoka naomba unieleze njia uliyomtumia mkuu.Nashukuru mungu nimefanikiwa kiwepesi kabisa
Mimi imeshindikana aisee ngoja nisubir usiku wananane.Wakuu nimefanikiwa kuapply leo nawaombeni mtumie computer ya windows 10 ndo inakuwa chap lkn kwa windows 7 n mtihani sana
Ilikuchukua muda gani kuweza ku access hiyo page ?Niliingia kwenye system yakawa yanakuja mapulizo, baadae nikafanikiwa kuingia lakini pale ili nijisajil, sehem yakuandika jina ukiandika jina system inagoma.
Wenye simu unawashauri nini ?Wakuu nimefanikiwa kuapply leo nawaombeni mtumie computer ya windows 10 ndo inakuwa chap lkn kwa windows 7 n mtihani sana
Toka liniHivi walimu wa arts Kiswahili na geography wanaomba primary school au secondary.
Kwangu Mimi nimejaza taarifa zingine sawasawa ila kwenye shule wamekuja kuweka za secondary ingawa kwenye tangazo walionyesha kwamba watu wa Kiswahili na geography wanatakiwa kuomba primary school nakosea wapi
Tumia ya majina matatu ya nida na katika hsyo matatu mawili yawe kwenye vyeti vysko vya taalumaHabari za muda huu wakuu,
Naomba kuuliza kama kuna mtu alishawahi fanikisha maombi ya ualimu kwenye mfumo wa TAMISEMI yaani OTEAS Kwa kutumia majina mawili pekee?
Maana mimi vyeti vyangu vya shule vyote vina majina mawili lakini mfumo unataka majina matatu ingawa kwenye cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha taifa yapo majina yote matatu
Je nikitaka kuweka jina la tatu naruhusiwa au kuna utaratibu mwingine natakiwa kufuata?
Hamna shida mkuu.Jamani mi naona nimeharibu kazi.
Nimejaza machaguo 9 nikasubmit na niikaambiwa application is succesfull.
Wengine wakiapply wanaambiwa machaguo yasizid matano
Tatizo kama languWandugu kuna changamoto nakutana nayo hapa imebidi nije kwenu. Mwaka jana around February nilitengeneza account. Leo nikiitumia naambiwa unauthorized user. Nilitengeneza account mpya naambiwa hiyo account tayari ipo. How do I get breakthrough? Your help please.
Kweli hawatanifanyia maswala ya wajumbe?Hamna shida mkuu.
Haya basi. UmepataMlisema hawatatoa, sasa wametoa mmekuja na lingine.
Ndugu zangu mnaofungua mnatumia njia gani?Unatumia simu au computers?