Mkuu,sasa mambo ya ku-edit hayaharibuhiii system nimeshaisoma vya kutosha ,, kama unahitaji ushauri na jinsi ya kuongeza probability na kupata chances nitakupa ushauri hapa...the isue unatakiwa ucheze na somo mojamoja na kucheki chances katika kila mkoa, wilaya na shule na mambo mengine madogo madogo.
Nimekuelewa, na hapa wengi chaka wameingia.specification ipo huu mfumo nimeshausoma kwa umakini na kujua unavyofanya kazi........ fanya hivi anza kuchagua somo moja moja utajua hilo somo shule zip zinahitaji
Kama huna uelewa vya kutosha, nenda stationary usaidiwe..usikomae mwenyew tu getojamani nisaidieni, nilikuwa na account ya zamani ila nimeshinwa kuitumia maana sina details kama user number na password, nimejaribu kufungua account mpya, kila nikiingiza namba ya form four naambiwa "index number invalid" natokaje hapa ndugu zangu?
Asante kwa ushauriKama huna uelewa vya kutosha, nenda stationary usaidiwe..usikomae mwenyew tu geto
Na ulete mrejesho UKAWA2.Asante kwa ushauri
Mbona mimi mwanachadema, nime apply na bado natumia Id hii hii kuwaimiza raia waikatae ccmhahhaha kwaio wote mnaomba ajira hizi mmekuja na id mpya.
utadhani sio nyie mliojiajiri nakutusumbua sumbua humu.
Kuichagua ccm ni kuchagua mateso ndani ya miaka mingine mi 5. Haiwezekani serikali ya ccm kwa zaidi ya miaka 50 imeshindwa kupambana na maadui watatu wa taifa hili(umaskini, maradhi na ujinga) na ameongezeka adui mwingine wa 4 ambae ni rushwa.Kupitia uzi huu nimegundua kuna vijana wadogo waliomaliza shule na hawana ajira.Ndio maana huwa kuna mada za ajabu ajabu zisizo na kichwa nyingi.
Serikali imemwaga ajira kwa vijana,ombeni acheni kuzogoa. Mkichelewa na mfumo kufungwa msije anza kulia humu jamvini kwa watu wenye akili za kujenga nchi.
Weka tiki Mi 5 tena kazi iendelee mbele kwa mbele!!
jaribu kuwa na subira japa kidogo,, vijana wenzako walisubiri hizi nafasi kwa miaka mitano so kuwa na uvumilivu tuu angalau hapa mwanga umewaka ndani ya miezi michache kama una vigezo vya kuwapiku mwenzako kama ufaulu bora,, mkopo, masomo ya science. nafasi zipo wazi kama una vigezo..etcLini tunapangiwa post ili tujijue mapema kama tumo/hatumo!
Hadi Magufuli atakapohakikishiwa ushindiLini tunapangiwa post ili tujijue mapema kama tumo/hatumo!
Umepeleka lini?
Umepeleka lini?
Nyie subirini ya kwenu.Hivi kwa sisi vijana wa UVCCM tunatumia system hiyo hiyo au kuna ya kwetu special?
Na kama ni hiyo hiyo watatutambuaje sasa?
Peleka tena ukiwa na laki 1,upo wapi?Ilikuwa mwaka 2012
Mkuu, umenifanya nicheke kwa sauti kubwa sanaa yaani. Thanks for making my day!Hivi kwa sisi vijana wa UVCCM tunatumia system hiyo hiyo au kuna ya kwetu special?
Na kama ni hiyo hiyo watatutambuaje sasa?
Hiyo laki 1 ni ya nnPeleka tena ukiwa na laki 1,upo wapi?
Ya equivalence na cheti.Hiyo laki 1 ni ya nn
Nenda pale NECTA utafanyiwa equivalence. Inaweza chukua siku 3.Niko Bagamoyo,na ile niliyolipia mara ya kwanza inaenda bure?na nikilipia itachukua mda gani kupata