Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Hiv hapa inaposema 'applicant Number' labda 57934 inamaanisha idadi ya watu walio apply hadi sasa?

Kama ni hivyo, it is discouraging
 
Ndugu zanguni nimekamilisha kila kitu ila bado naambiwa incomplete application. Please complete your application. Jamani nakosea wapi?
IMG_20200912_173416.jpg
IMG_20200912_172141.jpg
 
Uongo mkubwa sana maana kama wangekuwa wanafanya kama hvo wanavosema na huyo jamaa ako watu wanaaply mpk leo na maomb yanaena na unakuta n mtu wa 30elfu why wasifunge system
Hcho kipengele cha nafas unaona wp wakuu maana nimeapply alaf sijaona chochote
 
ambao bado hamjafanikiwa kuapply natoa msaada bure kabisa leo jumapili iwe sadaka yangu kwa leo maana kanisani sijaenda
njoo inbox na detail zako
 
Mh! Kama ingekuwa kweli basi wangetoa nafasi moja tu ya shule/kituo kimoja tu. Lakini mm nimeletewa mikoa 5 na wilaya mbili mbili nikachagua moja moja kwa kila mkoa + shule mbili mbili nikachagua moja moja zidisha Mara 5 jumla nimeomba vituo zaidi 5. Mara masomo 2 = 10.

Japokuwa ni kweli vituo/mikoa vinapungua ila sidhani kama inaweza ikajifunga...
 
Hiv hii unakuta nafas ni 1 ila bado MTU anajaza, ujasir anautoa wapi
 
Kwasababu saikolojia yawatu wengi wataikimbia hio nafasi moja kwa kuogopa competition, kwahio anaejaza usikute akawa peke yake, nimejaribu kuwaza kwa Sauti.
Kam n hivy, basi zile shule zenye nafas moja zingekua zimeshapotea lakin bado zinabak kweny chaguzi, Ina mana bado watu wanachagua
 
Kam n hivy, basi zile shule zenye nafas moja zingekua zimeshapotea lakin bado zinabak kweny chaguzi, Ina mana bado watu wanachagua
Inategemea mkuu, nilichogundua mfano shule inahitaji Mwalimu wakiswahili 1 itaonekana nafasi moja, lkn shule hio hio inaweza kuwa inahitaji walimu wa civics 3 kwahio mtu wa civics akiingia lazima aone nafasi bado zipo, muonekano wanafasi katika shule unategemea na muhusika anahitaji afundishe masomo yapi.

Mtu wa physics & mathematics anaweza ona shule A inahitaji Mwalimu mmoja wahayo masomo.

Lkn mtu wa kiswahili & civics akiingia shule A kama bado inauhitaji ataiona kwa masomo yake. Am just thinking louder.
 
Back
Top Bottom