Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo inbox nikuelekezeMimi jamani nahangaika sana kujiregister inafika sehemu naingiza email yangu ninayotumia siku zote. Nasevu inanipa ujumbe unaosema email address already exists. Sasa sijui ina maana gani? Nisaidieni wadau!
Njoo inbox tusaidianeWakuu kuna Mdogo wangu namfanyia hizi application lakini yeye alishafungua account kwa kutumia simu. Kwa bahati mbaya nikijaribu kulog in kwa kutumia computer au simu hiyo hiyo mfumo unaandika ' unauthorized user" hii changamoto inatatuliwa vipi?
Njoo inbox tuelekezaneHii error mna solve vp wakuu? View attachment 1565512
Njoo inbox tuelekezaneNdio Kwanzaa ńa log in lakini naletewa Alama hii.. Hivi nalitatuaje Hili dubwanaView attachment 1565536
Reload kwanza, refresh hiyo pageWadau naombeni msaada wenu. Mm nimejaza taarifa za awali za f4 na f6 nikasevu sasa hakuna kinachoendeelea... Nafanyaje jamani?
Nashukuru mkuu!Reload kwanza, refresh hiyo page
...mpaka uone sehemu imeandikwa "Next"Wadau naombeni msaada wenu. Mm nimejaza taarifa za awali za f4 na f6 nikasevu sasa hakuna kinachoendeelea... Nafanyaje jamani?
Imekubali?Nashukuru mkuu!
Tuma screenshot ili tupaone penye ugumuJamani mimi hata ku-regester kumenishinda - hasa kipengele cha name..napaswa kuweka majina yangu ya vyeti au namba ya f4? Msaada tafadhali
Mfumo wa Maombi ya AjiraTuma screenshot ili tupaone penye ugumu
Link kuifungua shughul..kama unatumia jamiiforum kupitia web angalia walioandika attach files kisha upost.Nimeshindwa ku-upload screenshot.. nimeona nikutumie link@Alex
Nikitaka kuattach file naambiwa space haitoshi. Natumia simu hapaLink kuifungua shughul..kama unatumia jamiiforum kupitia web angalia walioandika attach files kisha upost.
Kwa app fata utaratibu wake pia ili ionekane unapokwama