Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Mkuu na unapojaza personal particular halafu uki click next ikakwambia application process failed then ikaku direct kwa page ya taarifa ya elimu ya sekondari, maana yake ni nini ?
Ludi nyuma tena ni mtandao huo na Mimi nimehangaika sana lakini nimemaliza
 
Kama bado unapata shida ku-apply..jaribu firefox browser hii itakufanya ucheke
 
Huu ndio mda mzuri wa kuomba ajira ya ualimu, Ila najiuliza ajira ya kuomba usiku huu ni ajira gani hii? Saa 7:51 usiku.
 
Habar jamani nauliza tuliosoma nje kidato cha nne nje tunaandikaje Equivalent NO ,inaandija invalid index number.solution yake nini?
 
Wakuu naomba msaada
Mimi kwenye vyeti vyangu natumia majina mawaili lakini kwenye mfumo wa maombi wanahitaji majina matatu, formu ya kiapo mahakamani ya kuongeza jina la tatu ninayo ila sioni pa ku upload, naomba msaada wakuu.
 
Jiwe juu ya jiwe
 
Kwan lazima uweke matatu kupitia kiapo?
Si uweke vyeti hivyo hivyo kweny system, na pa kuandika la 3 uandike...cheti cha kuzaliwa unacho, nida unayo..sasa uoga wa nn?
 
Niliwauliza tamisemi wamesema kwamba kwenye barua andika majina matatu kama ulivyokula kiapo,vyeti vyako vi-upload kama vilivyo maana huwezi kubadili jina lililopo kwenye vyeti..tatizo lako ni kama langu
 
hahhaha kwaio wote mnaomba ajira hizi mmekuja na id mpya.
utadhani sio nyie mliojiajiri nakutusumbua sumbua humu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wabongo wanafiki sana
Watu wakiulizaga salary kwenye ule uzi pendwa wanawazodoa sana alaf hapa wako kibao wanahangaikia salary ya TGS B, TGS C na TGS D ambayo haina marupurupu yoyote mpaka unastaafu
 
Kwan lazima uweke matatu kupitia kiapo?
Si uweke vyeti hivyo hivyo kweny system, na pa kuandika la 3 uandike...cheti cha kuzaliwa unacho, nida unayo..sasa uoga wa nn?
wakati umasajiri hakikisha majina yako yawe sawa na kwenye vyeti kwa maana hayohayo mawili ila ukilog in kwenye general info wanataka majina matatu so make sure mawili yawe ya mwanzo ya kwenye cheti then ongeza la ukoo , nida ipo , cheti cha kuzaliwa kipo usianze kuapa apa hakuna option ya kuweka hizo affidavity
 
Niliwauliza tamisemi wamesema kwamba kwenye barua andika majina matatu kama ulivyokula kiapo,vyeti vyako vi-upload kama vilivyo maana huwezi kubadili jina lililopo kwenye vyeti..tatizo lako ni kama langu
Kwahy kiapo ni lazima ili kuweka sawia ya majina matatu?
Mbn wako waliotuma wakiwa na majina mawil kwenye vyeti na imekubali ilihali hawana kiapo pamoja na kwamba kwenye usajil kaweka matatu na pia nida yako matatu?
 
Nilikuwa nakagua Profile yangu,nikagundua tarehe imerudi nyuma,kila niki-edit nikasave naikuta imerudi nyuma.nimechofanya nikaipeleka mbele siku moja,nikasave ikarudi nyuma siku moja ambayo ni tarehe yangu.
 
Nilikuwa nakagua Profile yangu,nikagundua maina tarehe imerudi nyuma,kila niki-edit nikasave naikuta imerudi nyuma.nimechofanya nikaipeleka mbele siku moja,nikasave ikarudi nyuma siku moja ambayo ni tarehe yangu.
Hata mimi imelata shuda lakini namba ya form four ni ya nje haikubali sijui nafanyaje maana Tamisemi hawatoi ushirikiano mzuri
 
yaap wengi tumefanya hivi
 
Nilikuwa nakagua Profile yangu,nikagundua maina tarehe imerudi nyuma,kila niki-edit nikasave naikuta imerudi nyuma.nimechofanya nikaipeleka mbele siku moja,nikasave ikarudi nyuma siku moja ambayo ni tarehe yangu.
Tar ya kuzaliwa sio?
 
Hata mimi imelata shuda lakini namba ya form four ni ya nje haikubali sijui nafanyaje maana Tamisemi hawatoi ushirikiano mzuri
Kwann hukubadilisha matokeo Necta ili yawe kwa grade ya Tanzania
 
Back
Top Bottom