Ludi nyuma tena ni mtandao huo na Mimi nimehangaika sana lakini nimemalizaMkuu na unapojaza personal particular halafu uki click next ikakwambia application process failed then ikaku direct kwa page ya taarifa ya elimu ya sekondari, maana yake ni nini ?