Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Iko post# 398
Hapo unajaza jina lako hata moja, then step inayofuata utajaza email, index no ......
Screenshot_20200912-124909_Chrome.jpg
 
Wakuu kuna namna ya kutoa file ulilopakia. Mfano nimepakia barua sasa imekosewa. Nataka niweke ambayo ipo sahihi. Nafanye wadau. Daaaaa mambo hizi[emoji26]

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu naomba msaada
Mimi kwenye vyeti vyangu natumia majina mawaili lakini kwenye mfumo wa maombi wanahitaji majina matatu, formu ya kiapo mahakamani ya kuongeza jina la tatu ninayo ila sioni pa ku upload, naomba msaada wakuu.
Tumia ya nida
 
Back
Top Bottom