Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

hiii system nimeshaisoma vya kutosha ,, kama unahitaji ushauri na jinsi ya kuongeza probability na kupata chances nitakupa ushauri hapa...the isue unatakiwa ucheze na somo mojamoja na kucheki chances katika kila mkoa, wilaya na shule na mambo mengine madogo madogo.
Mkuu,sasa mambo ya ku-edit hayaharibu
 
specification ipo huu mfumo nimeshausoma kwa umakini na kujua unavyofanya kazi........ fanya hivi anza kuchagua somo moja moja utajua hilo somo shule zip zinahitaji
Nimekuelewa, na hapa wengi chaka wameingia.
Upo sahihi.

Sasa unaeza taka Fanya editing, mtandao ukazama mazima
 
jamani nisaidieni, nilikuwa na account ya zamani ila nimeshinwa kuitumia maana sina details kama user number na password, nimejaribu kufungua account mpya, kila nikiingiza namba ya form four naambiwa "index number invalid" natokaje hapa ndugu zangu?
Kama huna uelewa vya kutosha, nenda stationary usaidiwe..usikomae mwenyew tu geto
 
Kupitia uzi huu nimegundua kuna vijana wadogo waliomaliza shule na hawana ajira.Ndio maana huwa kuna mada za ajabu ajabu zisizo na kichwa nyingi.

Serikali imemwaga ajira kwa vijana,ombeni acheni kuzogoa. Mkichelewa na mfumo kufungwa msije anza kulia humu jamvini kwa watu wenye akili za kujenga nchi.

Weka tiki Mi 5 tena kazi iendelee mbele kwa mbele!!
Kuichagua ccm ni kuchagua mateso ndani ya miaka mingine mi 5. Haiwezekani serikali ya ccm kwa zaidi ya miaka 50 imeshindwa kupambana na maadui watatu wa taifa hili(umaskini, maradhi na ujinga) na ameongezeka adui mwingine wa 4 ambae ni rushwa.
 
Lini tunapangiwa post ili tujijue mapema kama tumo/hatumo!
jaribu kuwa na subira japa kidogo,, vijana wenzako walisubiri hizi nafasi kwa miaka mitano so kuwa na uvumilivu tuu angalau hapa mwanga umewaka ndani ya miezi michache kama una vigezo vya kuwapiku mwenzako kama ufaulu bora,, mkopo, masomo ya science. nafasi zipo wazi kama una vigezo..etc
 
Niko Bagamoyo,na ile niliyolipia mara ya kwanza inaenda bure?na nikilipia itachukua mda gani kupata
 
Niko Bagamoyo,na ile niliyolipia mara ya kwanza inaenda bure?na nikilipia itachukua mda gani kupata
Nenda pale NECTA utafanyiwa equivalence. Inaweza chukua siku 3.
 
Back
Top Bottom