Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Bajeti ya kununua ndege na ujenzi wa uwanja wa Chato ilipitishwa na Bunge lipi ?

Je ndege hazijanunuliwa

Uwanja haujajengwa ?
Acha upim.bi wewe, hizo ndege pesa ya kuzinunulia inatolewa kila mwezi?
 
Kila week zinatolewa

Kwa akili zako unafikiri ndege ikishanunuliwa haina tena gharama za uendeshaji.

Pumbavu
Dogo acha uzwazwa, gharama ya maintenance ya ndege sio ya kudumu kama ilivyo mishahara kwa Watumishi. Shule ulienda kusomea ujinga mpuuzi wewe? Ndege inaweza kuwekwa parking tu, hao Watumishi unaweza kuwakalisha miezi na miezi bila ya kuwalipa mishahara yao? Ficha upumbavu wako.
 

Mtumishi hujui anazalisha kila siku, au hujui watumiahi ndio wazalishaji was serikali?
 
Wakuu hizi ajira za walimu mwenye utabiri lin wataajiri baada ya dirisha kufungwa?? Kabla au baada ya uchaguz??
 
Hata kama hizo nafasi hazinihusu bado najuta kusoma ualimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…